Tunagema ulanzi

Tunagema ulanzi

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
1379740_655055024525930_1878782248_n.jpg
 
Mie niagizie mkangafu, nataka lita tano leo nijidunge mpaka baas!!!!
 
Dadadeki hii kitu nimeimiss sana jama yaani basi tu.
 
Damn! Umenikumbusha mbali sana! Kipindi tupo primary tukitoka skuli tunapitia kwenye vitindi kuponga mbeta. Sasa siku moja tukaenda kwenye vitindi vya maza mmoja akatufuma tunamwibia tukatimua mbio. Bahati mbaya mi alikuwa ananifahamu akaanza kufoka na matusi juu. Akaniambia we Nyalotsi nakufahamu, kesho naenda kwa mwalimu mkuu utataja na wenzio! Aisee sikwenda shuleni wiki nzima. Nilivyokutana naye siku nyingine akanambia alikuwa anatutishia tusiende tena.
 
Last edited by a moderator:
Dah.... Vitindi..... Mbeta.... Mavembe... Maboso.... Wengine walikuwaga wanalaukaga ulanzi, tena mdindifu
 
Iringa Ntarudi tu, haiwezekani mfaudu wenyewe hiyo BAMBOO JUICE!!
 
Dah nimemiss sana nyamtuta na kilama mweee! Ngoja nirudi Ikonda lol!
 
Winamilage nene ngwita,,, Winamilage haya twende ne ndaiwenda unya kifyenguri!
 
Patrickn umenikumbusha mbali sana, enzi hizo nilipiga kitu cha mkangafu afu wita ndihele kunyumba ndikukabanya kadala ka jirani, daaaaahhhhhhh, Old is Gold!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom