Oyaa me nina Samsung curve 49 ina msitari katikati naweza pata replacment?
Hapo kila mtu na mapendeleo yake wengine hizo za bei chee hawazitaki
tatizo mafundi mnatamaa sana kwa nn usi kusanye hicho kidogo kidogo ukapata wateja wengi, mm nashida na kioo chaTv aina ya HIER nchi 50 ila kwa bei hii ni shida sanaTV original sony,Samsung, lg ,Philip inch 32 unaweza kunipa bei yake? Wew unajua bei ya kioo, na risk yake kusafirisha? Kioo kuwa na bei zaid ya TV sio ajabu worldwide
Sent using Jamii Forums mobile app
ml
tatizo mafundi mnatamaa sana kwa nn usi kusanye hicho kidogo kidogo ukapata wateja wengi, mm nashida na kioo chaTv aina ya HIER nchi 50 ila kwa bei hii ni shida sana
Mleta Uzi daah nimekukubali mwanangu yaani unawapa Fact
Mwanangu thug life humu jamii forum kuna baadhi ya wanaume ni mashoga ila nahisi wewe hujui ila komaa
Kuna mtu anaishi kwa mama yake hadi kesho lakini likija humu eti nalo linavimba ha ha ha ha
Hongera mkuu,NAUZA NA KUFUNGA VIOO VYA FLAT TV AINA MBALI MBALI KUANZIA INCH 24 MPAKA 55
Location: Jengo la biashara machinga complex karume Jengo la upande wa Ilala
Time: Jumatatu-Jmosi kuanzia saa 3 asubhui mpka saa 2 usiku
Call: 0652608010 Michael
Wadau wa MIKOANI vioo atuvitumi ilete TV offsini ufungiwe
Bei....inch 24 display ni 200000/
Inch 32 display ni 300000/=
Inch 43 display ni 500000/=
Inch 49 display ni 700000/=
Inch 55 display ni 850000/=
Hizo bei ya display ni pamoja na ufundi..ukitaka nikuuzie kioo kama kioo ili ubebe ukafunge mwenyewe UNAUZIWA PIA..ILA KIOO kikitoka akirudi offisni Tena..bei ya kioo bila ufungaji Toa elfu 30 ktk kila bei za hapo juu.
KARIBUNI
View attachment 1361909View attachment 1361910View attachment 1361911View attachment 1361912View attachment 1361913
Sent using Jamii Forums mobile app
NakaziaHuna akili wewe
NakaziaHizo bei ulizoweka unapata tv mpya Zenji haha
Yaan nimesoma comments za huu uzi hadi nimetetemeka kumbe Mafundi wanafanyiana roho mbaya namna hii, mtu mpaka anasema habari za TCRA sijui kupotea milele mwingine bila haya wala soni anaweka bei zake yaan anatangaza biashara yake amuharibie mwenzie badala ya kufungua uzi wake,Kweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli siunaenda polisi na unakuja na uzi wako unautililisha,kingine hakuna biashara isiyokuwa na mtu wa Kati(dalali).
Sent using Jamii Forums mobile app