Tunafunga mwaka mnajivunia Nini?

Tunafunga mwaka mnajivunia Nini?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,351
Mimi nimefurahi Kwa sababu nimepata marafiki humu wa kweli.

Ndio najivunia Kwa Raha zangu kweli kwasababu kuongeza wanafiki ni Raha sana unajifunza sana maarifa mapya .

Sijui kwenu mnajivunia Nini??

Good day .
 
Kukupata wewe ni mafanikio tosha.
Kunizalia mapacha umekamilisha furaha yangu.
Hakika wewe ni mwanamke mzuri na wa thamani kubwa sana kwangu kuliko hazina na fedha zote za dunia hii.

Nilifanikiwa kuweka record ya kunywa mzinga fulani wa pombe kwa muda wa dakika 45 ,hii rekodi sidhani kama Kuna mtu ataivunja
 
Kiufupi huu mwaka ulianza vibaya kwangu unaisha vibaya TU.mwaka umeanza nimempoteza mtu wa muhimu maishani tangu hapo nikama ameondoka na milango ya ridhiki pesa imekuwa ngumu kwangu kuipata...

Sioni nilililifanya Hadi mwaka unakata in short.
Sielewi ni nini kinaendelea.sio kwangu TU kwa familia nzima wanalalamika milango ya ridhiki imekuwa migumu.
 
Pole Sana mkuu kwa kupoteza mtu wa muhimu,mimi mwenyewe mwaka huu nilipoteza baba mzazi ila nilikubaliana na matokeo na nikaruhusu moyo wangu kuamini kuwa hili limetokea na siwezi kupingana na matokeo Cha msingi nipambane na maisha yaliyobaki.
Endelea kupambana huku ukimuomba Mungu.
 
Kukupata wewe ni mafanikio tosha.
Kunizalia mapacha umekamilisha furaha yangu.
Hakika wewe ni mwanamke mzuri na wa thamani kubwa sana kwangu kuliko hazina na fedha zote za dunia hii.
Mimi Hakuna nilichofanikiwa ila Bado Nina imani kwamba nitaweza kuyafikia malengo yangu kabla ya huu mwaka kuisha 🙏

Moja Kati ya malengo yangu Ni kumuoa Unique Flower awe mke wangu tukajenge familia.
Yaani unataka uwe mwili mmoja na wakubwa zako?
 
Kiufupi huu mwaka ulianza vibaya kwangu unaisha vibaya TU.mwaka umeanza nimempoteza mtu wa muhimu maishani tangu hapo nikama ameondoka na milango ya ridhiki pesa imekuwa ngumu kwangu kuipata...

Sioni nilililifanya Hadi mwaka unakata in short.
Sielewi ni nini kinaendelea.sio kwangu TU kwa familia nzima wanalalamika milango ya ridhiki imekuwa migumu.
Hili swala lako liko kiroho sana. Kuna umuhimu wa kuombea malango ya fedha ya familia. Kwenye kila familia kuna mtu ambaye yeye ni lango la baraka na fedha. Hata kama anajidai, weee muombea afya na maisha marefu, baraka zake zitadumu kwako
 
Kiufupi huu mwaka ulianza vibaya kwangu unaisha vibaya TU.mwaka umeanza nimempoteza mtu wa muhimu maishani tangu hapo nikama ameondoka na milango ya ridhiki pesa imekuwa ngumu kwangu kuipata...

Sioni nilililifanya Hadi mwaka unakata in short.
Sielewi ni nini kinaendelea.sio kwangu TU kwa familia nzima wanalalamika milango ya ridhiki imekuwa migumu.
Umefungiwa riziki zako
 
Pole Sana mkuu kwa kupoteza mtu wa muhimu,mimi mwenyewe mwaka huu nilipoteza baba mzazi ila nilikubaliana na matokeo na nikaruhusu moyo wangu kuamini kuwa hili limetokea na siwezi kupingana na matokeo Cha msingi nipambane na maisha yaliyobaki.
Endelea kupambana huku ukimuomba Mungu.
Nashukuru mungu naendelea na mapambano mkuu yote heri.
 
Mwaka naufunga nikiwa nimempa mtu mimba na mwakani mwezi wa kwaanza naenda kupata mtoto najivunia mno🤩🤩
 
Mwaka kuisha ukiwa mzima wa afya mzunguko wa upo una uhakika wa familia kuenjoy msimu wa sikukuu ni jambo la kujivunia.

Pia nipende kuwaomba kukumbuka kuwaombea na kusaidia wale wasiojiweza nao wafurahi msimu huu haitapendeza wanao wanakula na kusaza ila **** jirani hana hata cha kufurahisha familia yake.

Msaada haupunguzi kile mungu alichokupa.

#ukiona unapungukiwa hasa unaposaidia mtu basi ww bado ni masikini wakutupa
 
1. Nimesogeza binti wa watu sogea tukae..
2. Nimeanzisha msingi
3. Nimeweza kuacha pombe
Mungu ni mwema
4.Binti anakula ndimu may be mwakani July naeza itwa Baba kwa msaada wa Mungu
 
1. Nmeongeza nyumba moja,
2. Nmeongeza familia (mtoto mmoja),
3. Nmewakarabatia nyumba wakwe zangu
 
Back
Top Bottom