IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
Ni kampuni iliyosajiliwa kisheria. Tumesajiliwa kujishughulisha na mambo yafuatayo ambayo mengi kati ya hayo ni kwa kufanya kwa naiba ya wateja wetu.
Simu: 0652 656565
OFISI: Magholofani area, Forest, Jijini Mbeya
Ofisi inafunguliwa karibuni, Sinza Kamanyola, Dar es salaam, karibu na Mugabe shule.
- Kutayarisha document za kiofisi kwa utaalamu unaokidhi mahitaji ya mteja. (hapa ni document yoyote yenye sapoti kwa mteja husika
- Kufanya mafunzo kwa wafanyakazi kuhusu mambo yoyote yenye kuleta tija kwa mteja (kama vile kampuni, hotel, shule, NGO nk)
- Kuandaa Business plan (michanganuo na mipango ya kuanzisha au kuendeleza na kupanua miradi)
- Kusaidia kusimamia miradi ya mteja na kuandaa ripoti za maendeleo ya mradi husika na kutoa ushauri.
- Kuandaa Andiko la mradi wowote (kitaalamu)
- Kushauri maeneo ya kufanya tafiti na kufanya tafiti husika kwa ajili ya Tija na maendeleo ya shughuli za mteja kama vile shule, kampuni nk.
- Kabla ya mradi wowote, tunaandaa feasibility plan na kufanya feasibility studies
- Kufanya Environment and Social Impact Assessments kwa miradi mbalimbali ambayo sheria inaiongoza, na kwamba ni vema assessment hizo zifanyike kabla ya kutekelezwa kwa miradi husika.
- Kuandaa training manuals and modules kwa ajili ya mafunzo mafupi mafupi.
- Vifaa vya usafi maofisini (ofisi yoyote)
- Vifaa vya shuleni na maofisini
- Computer na vifaa vyake (laptops etc) - kutoka UK, CHINA, USA
- Simu na vifaa anuai -Kutoka ( USA NA CHINA)
- T-shirts (printed and plain)- kutoka Tz, China na UK.
- BIDHAA YOYOTE kwa kadri ya uhitaji wa mteja wetu.
Simu: 0652 656565
OFISI: Magholofani area, Forest, Jijini Mbeya
Ofisi inafunguliwa karibuni, Sinza Kamanyola, Dar es salaam, karibu na Mugabe shule.