Tunafanya ground water survey tupo dar es salaam

Nov 10, 2015
45
1
Habari wana jf,hakuna haja ya kupata hasara wakati wa kuchimba kisima.kuna mtu anaweza akachimba kisima akakuta maji hakuna na akawa ameingiya gharama zisizokuwa na msingi na mwingine anaweza akachimba kisima akakutana na maji yasiyotakiwa kunywewa na mwanaadamu nae pia atakuwa ameingiya gharama zisizotakiwa kuingiwa.

Ushauri wangu jaribuni kufanya survey kabla ya kuchimba visima vyenu kwani surveying ni bei rahisi saana kwa upande wetu ukilinganisha na gharama utakazopata baada ya kuchimba na kukutana na vitu vya ajabu.

Bei zetu ni rahisi mno,tunafanya kazi ndani ya dar es salaam na pia nje ya dar es salaam yaani mikoani pia

Piga simu namba 0659839446
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom