Tunafanya epoxy floor metallic, epoxy plain floor na epoxy 3d.....

Tunafanya epoxy floor metallic, epoxy plain floor na epoxy 3d.....

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,279
Reaction score
7,149
Miaka 2 ilopita niliweka Bandiko hapa kuhusu Epoxy...
Mwanzo changamoto ilikua upatikanaji wa Materials ya Epoxy, na sasa kuna uhakika wa upatikanaji wa Materials, ndani na baadhi ya Materials nje....

Tupo group la vijana kadhaa na tunafanya vitu vifuatavyo....
1.Epoxy Metallic floor (effect).
2.Epoxy plain floor.
3.3D Epoxy floor.

Hatuhitaji any upfront payment toka kwa Client, baada ya makubariano sisi tutakuja Site na Materials yetu na kufanya kazi.

Taratibu zetu.
Kwa Taasisi binafsi na Taasisi za Serikali, hatutaenda Site bila Ku sign Contract, means kama site ipo Mkoani mnatakiwa kututumia Contract na baada ya sisi Ku sign tunaandaa Materials tunakuja kuanza kazi.

Kwa watu Binafsi pia tunaingia Mkataba unakua signed then tunaandaa Materials tunakuja Site kufanya kazi.

Tuna uzoefu tumefanya na tunendelea kufanya kazi na Tasisi za Serikali hasa Hospitals.
Tumefanya na tunafanya kazi na Tasisi binafsi.
Tumefanya na tunafanya kazi na watu Binafsi.

Bei zetu zipo tofauti, kulingana na ukubwa wa kazi, aina ya Epoxy na Umbali wa Site tokea Dar es salaam....
Chagua aina ya Epoxy, nambie eneo site ilipo, nipe eneo unalotegemea kuweka Epoxy.......Mimi ntakupa bei zetu...!

Epoxy inaweza kuwekwa kwenye floor, ukutani pia juu......Epoxy inawekwa kwenye majengo mbalimbali kama HOSPITAL, HOTEL, MAABARA, NIGHT CLUB, LOUNGE, MAJUMBANI na sehemu nyingine.

Hapo chini no baadhi ya kazi zetu..
IMG_20180912_102057.jpg
IMG_20180912_102023.jpg
IMG_20180912_101040.jpg
IMG_20180912_101823.jpg
IMG_20180912_101549.jpg
IMG_20180912_101124.jpg


Kama una swali lolote kuhusu Epoxy unaweza kuuliza....
Kama una mawazo, maoni unataka kujua zaidi kuhusu Epoxy tupigie simu tuandikie email.

Kwa mawasiliano.
0714417641 WhatsApp
0769535559
trechian@gmail.com

Karibu.
 
Sorry mkuu kwa wale hatujapitia uzi tuomba ufafanuzi kidogo kuhusu epoxy floor nini? Uwekaji wake unakuaje kwa mfano mtu aliyeweka floor ya kawaida au tiles inakuaje au mnaweka kwa floor mpya tu? Gharama zake kwa mikoa jirani na Dar kiasi gani kwa square meter? Mikoa mbali na Dar kiasi gani kwa square meter? Uimara wake kulinganisha na floor za kawaida. Tushawishi kiongozi. Ni hayo tu mkuu otherwise kazi nzuri Sana!
 
Back
Top Bottom