Tunaendelea kukumbushana kuishi maisha ya uhalisia vijana

Tuanze na wewe Mzee
1. Umewekeza
2. Umesoma
3. Una hela benki ngapi
4. Una familia

Najua huna basi acha kukumbushia machungu.
Mbona umeuliza na kutoa majibu wewe mwenyew kabla uliyemuuliza hajakujibu.

Fanyia kaz ulio kwenye uzi. u will thank me later
 
No say!
FB_IMG_1522234685930.jpg
 
Back
Top Bottom