Mahendeka1
Member
- Feb 28, 2017
- 7
- 3
Kutokana na mambo ya mkuu Wa mkoa DSM hivi Rais anajua kilichotokea au?
Rais ana hasira shilawadu yake haikurushwa hewani. Yuko tayari kumsafisha bashite kwa gharama zozote, hata kama ni kujichafua yeye mwenyewe.Kutokana na mambo ya mkuu Wa mkoa DSM hivi Rais anajua kilichotokea au?
Rais wenu bado anafuatilia shilawadu, hajui nini kinaendelea.Kutokana na mambo ya mkuu Wa mkoa DSM hivi Rais anajua kilichotokea au?
Kwa lugha nyingine tuseme yupo kwenye zoezi la kusafisha makota na yupo tayar kujipaka kinyecy usoni kuliko kumtumbua prince a.k.a Makonda a.k.a BashiteRais ana hasira shilawadu yake haikurushwa hewani. Yuko tayari kumsafisha bashite kwa gharama zozote, hata kama ni kujichafua yeye mwenyewe.
Rais wenu bado anafuatilia shilawadu, hajui nini kinaendelea.
Shida yenu munachanganya madesa, kumbe hili la cheti kasingiziwa au wauza unga wamemwibia cheti?! Na ma-cctv ya clauds nayo wametunga story? Vp magari nayo? Mtalaaniwa kwakukumbatia uovuNi kweli chuki hii inatoka moyoni au ni mkumbo tu!!wengi sana waliotumbuliwa lkn hakuna kipya sidhani kama inamaana kumshinikiza mh.atumbue kwa matakwa ya wahalifu hiyo haikubaliki kwasababu hakuna atakayethubutu kupambana na madawa ya kulevya kwani watatamba sana na kuwatisha kuwafanya kama walivyo mfanyia mkuu huyo.Hili si jambo la kukurupuka tunatakiwa kuweka mizani kupima mema na mabaya yake ingawa kila tuhuma zinazomzonga zinatokana na vita ya madawa lazima apewe kinga.
kwani akitoa cheti chake hadharani ndo nguvu za kupambana na wauza unga zitaisha? au kuvamia vituo vya tv ndo upambanaji mnaouzungumzia?Ni kweli chuki hii inatoka moyoni au ni mkumbo tu!!wengi sana waliotumbuliwa lkn hakuna kipya sidhani kama inamaana kumshinikiza mh.atumbue kwa matakwa ya wahalifu hiyo haikubaliki kwasababu hakuna atakayethubutu kupambana na madawa ya kulevya kwani watatamba sana na kuwatisha kuwafanya kama walivyo mfanyia mkuu huyo.Hili si jambo la kukurupuka tunatakiwa kuweka mizani kupima mema na mabaya yake ingawa kila tuhuma zinazomzonga zinatokana na vita ya madawa lazima apewe kinga.