Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,288
- 11,745
Yaani Kuna mambo ya yanaendelea Tanzania yanaumiza sana, yaani ukienda serikali utazania hakuna kilichotokea Tanzania,
Wakuu wa MIKOA Sasa wameanza kubadilishwa tu mtu kama.mtanda ambaye polisi waliua vijana wetu wakiwa kwenye vibanda umiza wanaangalia mioira Leo hii anapelekwa simiyu real?
Mkuu wa mkoa wa DSM yeye ndo kwanza ahamini kilichotokea yeye kubakia mkuu wa mkoa wa DSM, mkoa inasemekana uliongoza kwa mauaji ya vijana wasio na hatia (MKUMBUKE Master Tindwa WA clouds, na yule shekhe majini).wa geita aliyeua ndugu zake wa damu analetwa morogoro?
Hawa wanaamishwa na uzoefu wa mauaji wakaue uko waendako?