ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,064
- 3,216
jamani, watani zetu tupo hapa jirani hata kutusitua hakuna, tupo mwanga nasi tunakuja
ooohh!!! hauna habari,tafuta supu ya pweza upige ya kutosha alafu uje uunge tela.Kazi gani tena jamani namimi nijiunge??mimi mpare
Kazi gani tena jamani namimi nijiunge??mimi mpare
jamani, watani zetu tupo hapa jirani hata kutusitua hakuna, tupo mwanga nasi tunakuja
Kazi gani tena jamani namimi nijiunge??mimi mpare
we unakuja kuchimba fuko wakati thithi baba dhao tupo .Mamsera ndio kwako?