Tunadesign na kukodisha magauni ya harusi

Tunadesign na kukodisha magauni ya harusi

G2D Fashion

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Hello!
G2D Fashion Collection ni wadau wapya kwenye kitengo cha mavazi na designing Tanzania! Tunadesign, kushona na kukodi nguo zote za harusi, send off, kitchen party. pia tunadesign na kushona vitenge, batiki, bazee nk kisasa na kileo kulingana na mahitaji ya wateja kwa wanaume na wanawake!
leta nguo yoyote uliyooiona na tunakutolea kama ilivyo. karibuni sana wadau

Tunapatikana Tabata Aroma same side na AROMA HOUSE au piga 0688 865182 kwa maelezo na maelekezo zaidi.

Tunawakaribisha pia kwenye banda letu kwenye maonyesho ya harusi trade fair kuanzia tarehe 21 hadi 23 mwezi huu mjionee kazi zetu kwa vitendo.
KARIBUNI SANA
 
Nimejaribu kupiga mbona haipokelewi ninahitaji gharama za kushona shela pia za kukodi shela
 
Okay nimeiona! i am calling you back soon but nimekuinbox for the price! Karibu sana
 
Hey, nice approach ... naweza pata price list yenu kwa ajili ya mavazi ya harusii.e shela, maids?Ukini PM ntashukuru!!Pia ungeboresha tangazo lako japo kwa kutupiamo picha mbl tatu kali za bidhaa zenu tujionee ... unaionaje hiyo!!
 
Back
Top Bottom