Tunadai serikali haitoi ajira, na hizi ni nini?

Mageziti sasa hivi yanatumia Habari za ajira ili kuuza magazeti. Wakiona biashara imekaa vibaya wanaandika tu heading kubwaaaaaa SERIKALI YA MWAGA AJIRA.
ukisoma ndani serikali ipo kwenye mchakato..........
Haya yalisemwa na flani akiwa sehem flani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…