Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,645
Gazeti la serikali hili watasema wameandika sahihiHaya ndo magazeti ya kichochezi ambayo inatakiwa yafungiwe........Ndo maana wanasoma wajinga tu!
Wanavutia watu wanunue tuHaki ya nani hili gazeti nyoko sana!
hahaha dunia hiiWatu 39 kuajiriwa ndio wsnadiriki kusema wamemwaga ajira,duh... Dangote naye atasemaje
Tena hao 39 wakuteuliwa na Sizonje.Watu 39 kuajiriwa ndio wsnadiriki kusema wamemwaga ajira,duh... Dangote naye atasemaje
Makada.Tena hao 39 wakuteuliwa na Sizonje.
Mleta mada ni whistle blower, kama hujamwelewa utakuwa ni 1/4.sarcasm at its best, na mtoa mada pia sijui alimaanisha ama ni sarcasm pia
tuheshimiane kijanaMleta mada ni whistle blower, kama hujamwelewa utakuwa ni 1/4.