Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,853
Amani iwe kwenu,

Hii ni Hatari sana...

Huna triangle, huna Poles, huna kibao chochote cha Men's at work, au kibao chochote kingine kinachoonesha kuna watu wanafanya kazi barabarani.

Huna kiziba pua ili kuzuia vumbi, huna groves. Unapiga deki barabara yenye bakteria wa kila aina. Kuna watu hukojoa barabara, wengine wanatema makoozi, ma oil yanamwagika hapo na kila aina ya uchafu ambao ni hatari kwa afya.

Hivi ukipata TB, hiyo elfu ishirini uliyopewa inatosha kukuhudumia? Hao waliokupa pesa watakuja kukuhudumia hospitali?

Hivi ukigongwa na gari kosa ni la nani? Hao waliokupa kazi watakuja kukuhudumia?

Vijana wenzangu hebu tuanze kufikiri sio. Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa. Maana mtumwa ndiye afanyaye kazi hatari ili tu bosi aendelee kunawili.

Tuwe makini.

#HapaKaziTu
 
Attachments

  • 1444716541703.jpg
    1444716541703.jpg
    26.6 KB · Views: 291
Acha ufala wewe wafanya usafi wa vyoo vya makampuni mbona wasi ugue TB acha upumbavu wewe. Mtamkubali tuu ngoja 25 ifike.
 
Wakichoka kudeki utawasikia wanasema vijana hawana ajira, inahitaji busara zaidi kutafakari hizi nadharia na mihemuko. Wangekuwa wanajitolea hata kwenda kudeki madarasa shuleni hawa waungwana wangekuwa wameonyesha upendo kwa wanafunzi. Hizi barabara zisingejengwa sijui wange deki kwenye barabara za vumbi maana kila kitu wanasema hakuna kilichofanyika
 
Vipi wale waliodeki kwa ajili ya Obama? Acha upuuzi na wivu wa kike NDOOOOOROBO WEWE
 
Amani iwe kwenu,

Hii ni Hatari sana...

Huna triangle, huna Poles, huna kibao chochote cha Men's at work, au kibao chochote kingine kinachoonesha kuna watu wanafanya kazi barabarani.

Huna kiziba pua ili kuzuia vumbi, huna groves. Unapiga deki barabara yenye bakteria wa kila aina. Kuna watu hukojoa barabara, wengine wanatema makoozi, ma oil yanamwagika hapo na kila aina ya uchafu ambao ni hatari kwa afya.

Hivi ukipata TB, hiyo elfu ishirini uliyopewa inatosha kukuhudumia? Hao waliokupa pesa watakuja kukuhudumia hospitali?

Hivi ukigongwa na gari kosa ni la nani? Hao waliokupa kazi watakuja kukuhudumia?

Vijana wenzangu hebu tuanze kufikiri sio. Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa. Maana mtumwa ndiye afanyaye kazi hatari ili tu bosi aendelee kunawili.

Tuwe makini.

#HapaKaziTu

Umetumwa?
 
Kila mtu ana uhuru wa kuonyesha hisia zake, isipokuwa asivunje sheria za nchi. Wengine wanaweza kupiga vigelegele/kuimba au kushangilia. zote hizi ni mbwembwe za kampeni. ciyo mara ya kwanza, ila ninavyoona namna walivyomsema lowasa na tabia yake ya uvumilivu, inawafanya watu wamwone ni mtu wa pekee. Wapiga kura wataamua hapo 25/10/2015 nani wanayemtaka
 
Mbona huwa naona wakinamama katika miji mingi tu wakifanya usafi BARABARANI bila vitu vya kujikinga na madhara ya vumbi,bakteria nk katika miji mingi ikiwemo DAR,TANGA,ARUSHA nk,mbona hurumii hao ambao wanafanya kazi katika mazingira magumu na kulipwa kidogo zaidi ya hao wanaolipwa 20,000/=kwa siku kama ulivyosema??
Ninachooona mimi ni wivu unakusumbua na mahaba kwa chama chako,lakini si huruma kwa hao vijana wenye mapenzi mema na LOWASSA.!!
ANGALIA VIZURI HATA HAPO JIRANI YAKO KUNA AKINA MAMA WANAFAGIA BARABARA BILA VIZUIA VUMBI,WAKATAZE BASI!!!

Amani iwe kwenu,

Hii ni Hatari sana...

Huna triangle, huna Poles, huna kibao chochote cha Men's at work, au kibao chochote kingine kinachoonesha kuna watu wanafanya kazi barabarani.

Huna kiziba pua ili kuzuia vumbi, huna groves. Unapiga deki barabara yenye bakteria wa kila aina. Kuna watu hukojoa barabara, wengine wanatema makoozi, ma oil yanamwagika hapo na kila aina ya uchafu ambao ni hatari kwa afya.

Hivi ukipata TB, hiyo elfu ishirini uliyopewa inatosha kukuhudumia? Hao waliokupa pesa watakuja kukuhudumia hospitali?

Hivi ukigongwa na gari kosa ni la nani? Hao waliokupa kazi watakuja kukuhudumia?

Vijana wenzangu hebu tuanze kufikiri sio. Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa. Maana mtumwa ndiye afanyaye kazi hatari ili tu bosi aendelee kunawili.

Tuwe makini.

#HapaKaziTu
 
Amani iwe kwenu,

Hii ni Hatari sana...

Huna triangle, huna Poles, huna kibao chochote cha Men's at work, au kibao chochote kingine kinachoonesha kuna watu wanafanya kazi barabarani.

Huna kiziba pua ili kuzuia vumbi, huna groves. Unapiga deki barabara yenye bakteria wa kila aina. Kuna watu hukojoa barabara, wengine wanatema makoozi, ma oil yanamwagika hapo na kila aina ya uchafu ambao ni hatari kwa afya.

Hivi ukipata TB, hiyo elfu ishirini uliyopewa inatosha kukuhudumia? Hao waliokupa pesa watakuja kukuhudumia hospitali?

Hivi ukigongwa na gari kosa ni la nani? Hao waliokupa kazi watakuja kukuhudumia?

Vijana wenzangu hebu tuanze kufikiri sio. Tunachofanyishwa hakuna tofauti na utumwa. Maana mtumwa ndiye afanyaye kazi hatari ili tu bosi aendelee kunawili.

Tuwe makini.

#HapaKaziTu

Acha watu waonyeshe hisia zao. Wamechoshwa na utawala koloni wa ccm.

Huo ni ujumbe tosha kabisa wa kuwarekebisha, hata kama mtapata bahati ya kushinda kwa tundu la sindano.
 
Naomba Jf waongexe kitufe cha kidislike napata tabu saana watu wanavyoandika utumbo
 
Hivi are they paid au wanafanya kwa ridhaa yao??

Na wale nao wanaopiga push-ups siku hizi, nao are they paid au ni kwa ridhaa yao?

Nadhani ifike mahali tukubaliane tofauti zetu, tujiandae kwa tarehe 25/10

Lakini cha zaidi tujiandae kwa maisha baada ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom