Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

mnapatikana wapi? kwa mfano mm nipo kilombero ntapataje iyo huduma?

Elfu sabini kwa mita moja ni bei kwa mteja aliyekuwepo dar es salaam kwa aliyekuwepo nje ya dar es salaa yaani mikoani bei ni laki moja kwa mita moja, Asante na karibu tukuhudumie
 
Mimi nipo Dodoma mjini. Survey nimeshafanya je mtachimba kwa gharama zipi. Inatakiwa mita 120 ili kupata maji ya kutosha.
Kwa wa mikoani kama wewe tunachimba mita moja kwa laki moja kwa hiyo hapo ni sawa na

1m = 100000tsh
120m=??tsh
Cross multiplication applied
120m ? 100000/1m
Cross metre both side
120 ? 100000tsh/1
?answer is 12000000tsh
Kwa wewe uliopo Dodoma utahitajika kulipa milioni kumi na mbili Asante na karibu tukuhudumie
 
Mi mwenyew ni driller ila ww kwa ulichokiandika hapa ni wazi tapeli
 

1m = 70,000/-
Tufanye mahali ulipo utapata maji mazuri kwa matumizi kwenye kina chenye urefu wa mita 120
hivyo 70,000 ? 120 = 8,400,000/-
vivo hivyo kwa mwenye mita 6
50,50,60 na kuendelea.
 
Hapana mkuu mimi sio taperi hebu nitake radhi

Ok.Samahani.

Lakini nijvyo mimi hakuna pump itakagharmu chini ya laki tatu tena hiyo ni zile takataka kabsaza Kichina. Bado hujachimba, hujaweka mabomba ya kulinda kisima (casings), nk.

Tafadhali toa mchanganuo wa gharama zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom