Tunacheza hivi...

Tunacheza hivi...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Unacheza hivi....jpg

Tulia hivyo hivyo nikuonyesha jinsi ya kucheza huu mchezo wetu!

Eeeh bonyea kidogo; haya piga sasa!
 
Aisee, naomba kazi ya u coach kwenye hiyo team, mimi ni profeshno kabisa ila vyeti vilipotea kwenye ajali ya mv.Skagit
 
Kazi umepata mkuu!
Ila weka picha hata ya uzoefu wako huko NYUMA itakubalika
 
sasa mbuzi mzee mbona inaonekana kama ndizi iko kwa nyani kwa jinsi huyo shosti alivyokaa.
 
ohhhhhhh huyo mdada kamlengeshea huyo bwana anamtia majaribuni...
 
sasa mbuzi mzee mbona inaonekana kama ndizi iko kwa nyani kwa jinsi huyo shosti alivyokaa.
Tulishaweka UTARATIBU wa kuchangia hoja unatakiwa uingie humu ukiwa na akili timamu!
Uliambiwa aliyerusha hii thread ni huyo uliyemtaja?
Acha MAJANIi mkuu ya bila kula, utadata!
:focus:😛oa
 
sorry kiherere kiliniponza sikuwa makini.
 
Back
Top Bottom