Tunaangamizwa kwa kukosa maarifa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Mwandishi wa habari wa Channel 10 afariki baada ya polisi kuingilia mkutano wa CHADEMA Iringa. - YouTube
56172_131947386861941_6308527_o.jpg
 
matatizo ya kiufundi?? Au ndio umekurupuka
LEGE, ndugu yangu mpendwa, sio tatizo la kiufundi wala kukurupuka, ni tatizo la strss zinazosababishwa na uongozi mbovu wa Kikwete na serikali yake ya CCM. Kila siku wanaua ndugu zetu, hii haivumiliki na wala haizoeleki.

Mkuu hiyo picha ya Mwlm Nyerere na JK inahusikaje?
Ndibalema Yaanai wote ni ma JK.
Lakini huyu bwana mdogo amezidi, kwanini anashindwa kuwaambia polisi waache matumizi ya nguvu yaliyo pitiliza?
Nimeibandika picha ya Mwalimu kuonyesha ni jinsi gani hadi leo tunaomboleza kifo chake.
Huenda angekuwebo, nasaha na ushauri wake wa busara usingeifikisha nchi hapa ilipo.
Inasikitisha sana kuona polisi wako juu ya sheria
 
Last edited by a moderator:

well said Bujibuji kudos for your words..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom