Tuna wabunge 150 wa kuteuliwa .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna wabunge 150 wa kuteuliwa ....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Don Draper, Jul 3, 2012.

 1. D

  Don Draper Senior Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pigeni hesabu kila mbunge mmoja ana tu cost kiasi gani na natumaini katiba mpya itaondoa huu upuuzi

  Kila mbunge aingie bungeni based on merit ya kuingia mle (kwa kuteuliwa kuingia mle na si kwa sababu ni mlemavu au mwanamke au anajuana na mtu)

  Natumai hawa wanasiasa wetu pamoja na WAPINZANI wataunga mkono hoja ya kuondoa huu upuuzi
   
 2. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kabisa hawa wabunge hawatufai kabisa
   
 3. D

  Don Draper Senior Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini what does CHADEMA say about this

  I dont trust CCM kuondoa huu upuuzi

  so our hopes ziko CHADEMA je watakubali huu upuuzi au watakuja na radical ideas za ku reform haya mambo?
   
 4. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  And you still wondering why ordinary Tanzanians are still at the show grounds dying of cholera and malaria?
   
 5. M

  MtotoWaMandela Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli Don,kazi yao ni kushabikia upuuzi,kupinga wabunge wazalendo wanatutetea wananchi na raslimal zetu,makofi mengi ya kushabikia ufisadi,kupiga kelele nyingi za NDIOO mahali pa SIOOO kupiga kelele nyingi za SIOOO mahali pa NDIOO.NI UPUUZI MTUPU
   
 6. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu Don huo nao ni mzigo we acha tu
   
 7. D

  Don Draper Senior Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbaya zaidi CHADEMA nao wanakubaliana na upuuzi huuu
   
 8. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Tunaweza kukubali kwamba kweli, kuanzia leo Mbunge lazima aingia "based on merit" , kwa kura tu, na ikawa kwenye katiba.

  Halafu tukasema, sasa tunataka kusogeza mamlaka ya maamuzi karibu na watu, na huduma za jamii karibu na wananchi, hasa kwenye misongamano, tukaunda majimbo ya uchaguzi ya Kariakoo Mashariki na Kariakoo Magharibi, pamoja na Manzese Kaskazini na Manzese Kusini, na majimbo ya Buguruni kwa Mfuga Mbwa na Buguruni kwa Mfuga Mamba . Dar kukawa na wabunge 18 na wote wamepigiwa kura.

  Utakuwa umetatua tatizo la kuingia bungeni "based on merit."

  Au?
   
 9. D

  Don Draper Senior Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Good lord. The lack of principle here is breath taking

  The status quo is a giant quango with no legitimacy or authority. Why in 2012, should we have 150 UN ELECTED MP's who each cost us not less than 500 million each? This is an argument that should be based on principle. Democracy is not just politically correct but morally so since any move away from democracy kama bunge hili lililo na watu represents 150 ambao hawakuchaguliwa na wananchi is a move towards oppression of some form or another.

  If we define democracy as a system in which people select representatives to create their laws and enforce them we have clear argument here so hilo halina mjadala. Greater democracy is not correct because we believe it be democratically for just the same reason that killing ALBINOS is not wrong simply because we all think it is wrong. You don't get a show of hands to prove that UFISADI is wrong either - it's WRONG and that's why we should all disagree with it. In the same way, the move towards greater democratic representation in the new Katiba is a morally urgent one.

  Democracy is not perfect in practise but it is morally correct in the way that other forms of government are not and so we are morally obliged to support it and move towards greater democratic representation lakini sio hii ya kuwakilishwa na watu tuu kwa sababu ni walemavu au ni wanawake...at the end of the day majority ya watanzania would like to say that want the LECTED MP if that means an MP from all cosntituencies za hiyo Kariakoo uliyotolea mfano, but local accountability to one's representative is far more important than having a faceless party appointee.

  Ndio maana mimi narudia kusema kuwa CHADEMA na CCM lao moja.
   
 10. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Lack of principle gani?

  Umetueleza tatizo lako ni wabunge ambao hawajaingia kwa kupigiwa kura, mimi nimekuunga mkono, nikasema kweli kabisa na wafutwe, halafu baada ya hapo, wawaundie majimbo mapya ya Mabwepande Mashariki na Mabwepande Magharibi, Kijichi Kaskazini na Kijichi Kusini, mpaka Dar iwe na wabunge 20, lakini wote wameingia kwa kura.

  Utakuwa umetatua tatizo lako la wabunge ambao hawaingii "based on merit."

  Au?
   
 11. D

  Don Draper Senior Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Majimbo mapya hayawezi kuundwa bila public consultation.

  Wananchi waulizwe kisha wao watasema wanachokitaka
   
 12. D

  Don Draper Senior Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa CHADEMA mnakubali huu upuuzi wa watu kuteuliwa?
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako una hope na hoax

  Chadema do you really beieve them? do you think they are serious?

  Whom do you think can take serious policy issues from chadema

  a. Is it Mbowe (biashara aache kwa nani?), hivi huo uwezo anao kiakili?

  b. Is it Zitto (Madaraka aache kwa nani?

  c. Is it Lissu (aliyesema sijawa mbunge ili niwe maskini?)

  Think
   
 14. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha tu. Mwingine eti mbunge kisa anatiw* na mkulu. Nchi ya wajinga hii
   
 15. t

  the circus Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maneno yako mazima sana

  lakini pia yamenivunja moyo sana

  nilivyokuelewa CHADEMA ni CCM B

  Amakweli we are a hopeless nation
   
 16. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa umetumia vigezo vipi kupata hiyo idadi ya 150. Maana nasikia viti maalumu ni 103,mpaka sasa wa kuteuliwa na Rais ni 7 kama siyo 8,sifahamu idadi ya wanaowakilisha BLW Zanzibar ni wangapi na unaongeza AG! Kuna utitiri wa wabunge toka Zanzibar ambao idadi ya wapiga kura wao wanazidiwa na vitongoji huku bara. Wengi wa hawa wapo bungeni kuzomea na kugonga meza wakishirikiana na wabunge wa Tanganyika toka majimbo masikini zaidi huko kusini,pwani na kati!
   
 17. t

  the circus Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Your pragmatic arguments are less than compelling.
   
 18. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,681
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Ndo maana bajeti zinapitapita tu na maendeleo hayaonekani!
  Wabunge 150 wa kuteuliwa wana significance kubwa sana katika kupitisha maamuzi ya kibinafsi
   
 19. B

  BORGIAS Senior Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwani ulikuwa hujui kama CHADEMA ni CCM B?
   
 20. B

  BORGIAS Senior Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ///////////
   
Loading...