ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 555
haaa na cuf ndo ccm A au A+, naona wanafanya kazi ya ccm pure!kwani ulikuwa hujui kama CHADEMA ni CCM B?
haaa na cuf ndo ccm A au A+, naona wanafanya kazi ya ccm pure!kwani ulikuwa hujui kama CHADEMA ni CCM B?
pigeni hesabu kila mbunge mmoja ana tu cost kiasi gani na natumaini katiba mpya itaondoa huu upuuzi
Kila mbunge aingie bungeni based on merit ya kuingia mle (kwa kuteuliwa kuingia mle na si kwa sababu ni mlemavu au mwanamke au anajuana na mtu)
Natumai hawa wanasiasa wetu pamoja na WAPINZANI wataunga mkono hoja ya kuondoa huu upuuzi
Katiba mpya iende mbele zaidi. Hata hawa wa majimbo tusiwaruhusu kujipangia malipo wanavyotaka. Kwanini tunamlipa Lusinde malipo zaidi ya Professor wa chuo?pigeni hesabu kila mbunge mmoja ana tu cost kiasi gani na natumaini katiba mpya itaondoa huu upuuzi
Kila mbunge aingie bungeni based on merit ya kuingia mle (kwa kuteuliwa kuingia mle na si kwa sababu ni mlemavu au mwanamke au anajuana na mtu)
Natumai hawa wanasiasa wetu pamoja na WAPINZANI wataunga mkono hoja ya kuondoa huu upuuzi
Wanawake watakubali kupunguzwa??
Kumbuka wengi wao ni VITU MAALUM
Sijaelewa umetumia vigezo vipi kupata hiyo idadi ya 150. Maana nasikia viti maalumu ni 103,mpaka sasa wa kuteuliwa na Rais ni 7 kama siyo 8,sifahamu idadi ya wanaowakilisha BLW Zanzibar ni wangapi na unaongeza AG! Kuna utitiri wa wabunge toka Zanzibar ambao idadi ya wapiga kura wao wanazidiwa na vitongoji huku bara. Wengi wa hawa wapo bungeni kuzomea na kugonga meza wakishirikiana na wabunge wa Tanganyika toka majimbo masikini zaidi huko kusini,pwani na kati!
Lack of principle gani?
Umetueleza tatizo lako ni wabunge ambao hawajaingia kwa kupigiwa kura, mimi nimekuunga mkono, nikasema kweli kabisa na wafutwe, halafu baada ya hapo, wawaundie majimbo mapya ya Mabwepande Mashariki na Mabwepande Magharibi, Kijichi Kaskazini na Kijichi Kusini, mpaka Dar iwe na wabunge 20, lakini wote wameingia kwa kura.
Utakuwa umetatua tatizo lako la wabunge ambao hawaingii "based on merit."
Au?
Lakini what does CHADEMA say about this
I dont trust CCM kuondoa huu upuuzi
so our hopes ziko CHADEMA je watakubali huu upuuzi au watakuja na radical ideas za ku reform haya mambo?
Watawala wa sasa ni vigumu kukubali kuondoa viti maalumu,lakini ni ukweli hatuna budi kupunguza ukubwa wa Bunge kwa kuondoa viti hivi na kuunganisha baadhi ya majimbo ya uchaguzi.