Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Mbona amesema specification za manufacturer zikoje na ushauri anaopewa sababu imepita kms 100,000
Mkuu naomba model ya gari yako, umri wake na kama imetembea zaidi ya km 100k au laa,
Matumizi ya oil yanatakiwa yaanzie kwenye specification ya manufacturer then kama hiyo grade haipo, then unaangalia alternative, naomba izo details nakusaidia sasa hivi.