Tuna shida Kubwa sana ya Wataalam wa Magari katika Maeneo haya

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,296
Points
2,000

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,296 2,000
Moja ya tatizo ambalo naliona katika mafundi wetu wengi au wataalamu ni kutothamini kazi zao.

Nlikuwa nmepeleka gari kwa fundi abadilishe Gearbox and Engine Oil. Lakini kabla ya hapo tayari mimi nlishasoma Manual ya gari inasema natakiwa niweke Engine Oil 5W30.

Nlisha fanya tafiti sana juu ya suala hili coz pia huwa napata shida kwa gari yenye engine kubwa ya 3000 CC. Mtu anataka aweke oil ambayo naona inawekwa kwenye engine za 2000 CC Je kitaalamu ni sawa? Hakuna uhusiano wa Ukubwa wa Engine na Oil husika?
This one ina 1300 CC. Mtaalam anasema aweke Engine Oil ya gari zenye 2000 CC. Hanipi sababu.

Fundi namuuliza anaponishauri niweke oil ya 20W50 namuuliza kwa nini. Anajibu hiyo ndiyo oil ambayo wengi wanaweka kwenye RAV 4 n.k but my car isnt RAV 4.

Lakini kwa nini uwekaji wa wengi iwe kigezo cha mimi pia kuweka hiyo? Hana sababu za kitaalam. Binafsi nimemwambia nataka niweke Oil bora kwa ajili ya kutunza Engine. But pia iwe sahihi kwa Gari ambayo imeshatembea kms 190,000.

Je hakuna wataalam ambao wanaweza kunipa maelekezo ya kitaalamu kwa nini niweke engine oil size tofauti na iliyokuwa recommended wakati gari mpya?

Napokuja kwenye upande wa Gear Box pia nakuta fundi hana majibu ya kutosheleza. Nimeshahangaika kwa mafundi wawili sasa. Mwishowe nimeenda Total wakitaka kuniuzia Oil yao Qualtz. Wanasema ni Oil nzuri kwa Engine.

Nahitaji maelezo kwa mhusika ananambia " we tumia tu utakuja kunambia mwenyewe" lengo langu si kutumia tu. Lengo langu ni kupata Elimu. Kila mara inapofika kufanya service najikuta napata shida sana kwa hawa wataalamu wetu

Unapotumia gari muda mrefu na aina ya oil huwa inabadilika kutokana na kms za gari husika. So wanasema haiwezekani ukaendelea kutumia oil ile ile baada ya Kms 100,000 kwa sababu kadhaa wa kadhaa.

Lakini pia hali ya hewa inachangia na mabadiliko ya Oil husika. Kama ni sehemu za baridi sana au Joto sana. Sasa wataalam wetu wengi hawajui hii tofauti. Kwao ni kumwaga na kuweka oil nyingine.

Hawajui kuna synthetic na "natural" oil lakini pia faida na hasara za hayo makundi mawili. Hii imekuwa tatizo kwa watu ambao tunataka kupata elimu. Nliuliza kwa muuzaji mmoja wa TOTAL EXCELLIUM inasaidiaje gari ku economize mafuta. Alinijibu inapunguza ulaji. nikamwuliza HOW? Akanambia nijaribu tu ntaona tofauti.

Binafsi naamini mafuta ya Total na Puma. Kuwa ni masafi na hawafanyi wizi ingawa hii PUMA YA HAPA SINZA KIJIWENI HUWA INANIPA MASHAKA SANA.

WATAALAM FAHAMUNI FIELD ZENU WATEJA WAENJOY HUDUMA ZENU.
 
kingjohn255

Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
82
Points
125

kingjohn255

Member
Joined Oct 4, 2018
82 125

Mimi sio mtaalamu sana wa magari wala oil but ninapo kijua matumizi ya oil kwenye gari yanabadilika kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika lakini kwa nchi yetu ya Tanzania oil nyingi zinazotumika ni 5w30, 10w30 hasa kwa magari mengi yanayotumia petrol na oil hiyo inaweza kuwa synthetic au full synthetic kutokana na km za gari zilizokimbia na kwa magari yanayotumia diesel wanashauri utumie 5w40, 10w40 hadi 15w40 na iwe synthetic au full synthetic kulingana na eneo husika na kwann tunatumia aina za hiyo oil ni kutokana na baadhi yetu kuwa na magari used ambayo yanaitaji mgandamizo wa oil(viscosity) iwe kubwa lakin kwa magari ambayo ni mapya ma yanayosoma 0km unashauliwa kutumia 0w30 ila iwe conventional oil na hapa nataka nitoe utofauti uliopo kati ya conventional oil na synthetic oil
Conventional oil ni oil nyepes ambayo inapatikana kutokana na petrol hivyo baada ya kuproces petrol material zinazotoka ndio zinatengeneza hiyo oil na inashauriwa kutumia kwenye magari mengi yanayosoma 0km hadi 3000km au sehemu ambazo ubarid ni mkubwa sana kama nchi za wenzetu ulaya nk
Synthetic oil hii ni oil ambayo inatengenezwa maabara kwa kutumia material mbalimbali ambayo hayajachakachuliwa na kitu chochote hiyo oil inayotoka hapo inakuwa nzito kwani haijatolewa kitu kingine kile hivyo mdau gari yako kama manual yake inataka utumie oil 5w30 tumia hiyo hiyo umebadilisha sana unaweza kutumia 5w40 hasa kwa jiji la dar lenye joto kiasi ila ukiwa arusha na mbeya utaona 5w30 ikiwa oil bora sana kwako either iwe conventional oil au synthetic oil
 
GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,296
Points
2,000

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,296 2,000
Kwa hiyo unashauri kwa gari ndogo dar engine oil inayofaa ni ipi?umesema kwa arusha na Mbeya 5W30 ni nzuri... Kwa dar je? Gari petrol auto

Kwa sababu umesema gari yako imetembea zaidi ya km 100000 nashauri weka 5w40 ambayo ni synthetic lakini kitu kikubwa na cha msingi ambacho tunatakiwa kukielewa kwa kina zaidi ili engine ya gari yako iwe imara siku zote tunatakiwa kubadilisha oil kila baada ya miles 3000-5000 haijalish ni oil gani unatumia naona hilo ndo swala la muhimu tusifuate Yale maandish ya kwenye madumu ya oil maana ile ni biashara kama biashara nyingine
 
RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,059
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,059 2,000
GuDume kila gari ina specs zake. Ukienda kwa anaejua kazi yake kama haijui hio gari hatabahatisha atakuomba chassis number ili kujua oil gani inafaa. Chassis number ya gari inaeleza kila kitu cha hio gari, changamoto ni wangapi wana hio software.
 
GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,296
Points
2,000

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,296 2,000
Nafahamu. Nmeuliza hivi kwa sababu wataalam huwa pia wanasema gari ikishapita milage flani unashauriwa kutumia oil size flani kwa sababu moja mbili tatu.

Hio ni kweli. Mfano VW au Mercedes nyingi zikiwa mpya zinatumia engine oil nyepesi sana 0W30 au 5w30 ila zikishafikisha 100,000km au miaka kumi wanashauri utumie oil nzito kidogo ambayo ni 5W40 simply because it offers more protection for an old engin.
 
GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,296
Points
2,000

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,296 2,000
Huu ndo utaalam ninaozungumzia. Kwa watu wa magari wenye uelewa hutaka information kama hizi. Mimi ni mtu ambaye hupenda kujifunza sana na kuwa mdadisi. Sipend jibu la kuwa ndo ipo hivyo tu. Au watu wengi wanafanya hivyo.

Nataka sababu kwa kila jambo.so fundi asiseme tu "magari mengi wanaweka hiyo....

Hio ni kweli. Mfano VW au Mercedes nyingi zikiwa mpya zinatumia engine oil nyepesi sana 0W30 au 5w30 ila zikishafikisha 100,000km au miaka kumi wanashauri utumie oil nzito kidogo ambayo ni 5W40 simply because it offers more protection for an old engin.
 
LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
4,243
Points
2,000

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
4,243 2,000
WAKATI UNACHAGUA GARI LA KUNUNUA ,SWALI JE UNACHAGUA AINA YA BODY LINALO BEBA INJINI AU AINA YA INJINI ??

Niswali la kijinga sana na swali zuri nineona tushare pamoja, watu wengi nimeona sana hungaika jinsi ya kununua magari ,

Wapo wengine huja watu kibao wakijazan kwenye gari kuja kukagua gari, au mke anabeba mume hata kama mume ana digrii ya mapishi au fundi ujenzi akidhani ana uelewa wa magari , wengine hubeba mke akija kuangalia gari lipi wanunue ,wakati mke hajui hata huwa wanaweka oil au maji.

KWANINI NASEMA HIVYO

Nimeona watu wakipata hasara kuagiza gari akiwa anangaliaa rangi cc na gari imetembea kilometa ngapi, yani hivo kwake ameona kama amesamehewaa dhambi mbinguni,kumbe gari likija sasa anakimbilia kuuza, kwa kisingizio nataka kubadili gari.

SASA KIPI KIFANYIKE??
Kwanza ya kuanza kujua uchague kwa kuangalia vigezo vipi hemu kwanza tuangalie mtazamo wa watengenezaji wa magari hutizama nini , haya sasa hemu pikicha mavho tayari kwa kufatilia;

Watengenezaji wa magari kila mwaka wakitengeneza magari hufikiria body gani au desgn gani ya body litengenezwe kukidhi mteja??

Kwenye body au model huzingatia nini??

•Huangalia zaidi muonekano mzuri na angle za
Gari
•Huangalia usalama wa mtumiaji
•Huangalia zaidi umaridadi wa ndani na nje,kamaa taa,show ya mbele,ndani kama radio na seats za kupendeza (kama ziwe velvex au leather)

Kwa Upande wa Injini mainjinia wengi wa magari hapa huamua kwa ujumla waboreshe nini kwenye injini zao zilizotengenezwa nyuma
Mara nyingi hutizama ulaji wa mafuta na speed na nguvu ya injini.

Hivyo tekinolojia /mfumo au phase moja ya injini hukaa muda mrefu, kwa mfano kwa sasa mfumo waa VVTi na D4s ni mfumo wa muda mrefu kidogo nadhani bado hakuna invention mpya kwa sasa

Ila wao huamua watengeneze injini hizo hizo kwa CC kubwa au ndogo, kwa kupunguza ukubwa wa piston na idad ya piston ila tecknolojia moja na mfumo mmjaa.

Watatengeza 1NZ,2NZ,1AZ,2AZ , IJZ,2JZ,IKD,2KD, IZZ ,IKR ,4GR

Japakuwa injini nyingi za toyota hapa Tanzania
Tunanua familia ya AZ injini , ambazo ni matokeo ya muendelezo wa injini za S series, tulisikiaga 4s,3s ,5s na nyinginezo zenye mfumo wa distributor lakini leo tuna familia ya AZ , ndo maana tuna 1ZZ,2NZ,1NZ

sasa hapo ndio umakini unahtajika,ni mfumo mmoja ila CC tofauti,na watalaamu jinsi unavo nunua injini ya CC ndogo ndivyo uimara hupungua zaidi.

Kwa UJUMLA ikoje.

Sasa kila designer /body wa gari, huchagua injini afunge ?? Iwe D4, au AZ, pamoja na ukubwa wa injini ,

Utakuta verossa ina injini 1G na ingine 1JZ sasa ukiikuta VERROSA njiani inaumwa kila siku usihukumu Body la VERROSA ,fahamu kuna injini gani imo humo??
Maana 1G haisumbui kama IJZ. ila utakuta mtu anaihukumu Gari kuwa walikose.

Utakuta PASSO moja ina 1KR FE na nyingine 1KJ , Moja ina Cc 900 na nyingne ni CC 1200. Ila ya cc 900 huwa inaumwa sana kuliko cc 1200. Sasa usikuhukumu PASSO ila injini iliomo . kwa sababu kuna PASSO ni zina cc 1200 sawa na VITS .

Leo tuna KLUGER NA HARRIER , hapo unaachagua body tu, injini na matumizinya mafuta sawa kama zimefungwa familia za AZ , yaani injini ya 2AZ , japokuwa zipo Harrier new model zina 1MZ zinasumbua sana hivyo kuhukumu Toyota Harrier ni mbaya ila inijini.
KWA UJUMLA KAMA WAKIAMUA KUBUNI GARI HUBUNI BODY , KISHA HUCHAGUA INJINI TAYARI AMBAZO ZIPO NA KUFUNGA
NDIYO MAANA UNAKUTA MAGARI MENGI YANA INJINI MOJA TU. HUCHAGUA INJINI GANI ZINAFANYA VIZURI ZAIDI.
NDO MAANA IZZ, 2AZ ni zimefungwa zaidi katika magari mengi.

Kipi kifanyike, unaponunua??

Unapo nunua fahamu unanunu injini familiaa gani ? Hapa ndio injini zote za toyota, zimepangwa kwa Herufi .

List of Toyota engines
A
Toyota A engine
Toyota Type A engine
Toyota AD engine
Toyota AR engine
Toyota AZ engine
B
Toyota B engine
Toyota Type B engine
C
Toyota Type C engine
Toyota C engine
Toyota CD engine
Comparison of Toyota hybrids
E
Toyota E engine
Toyota Type E engine
F
Toyota F engine
Toyota FZ engine
G
Toyota G engine
Toyota GD engine
Toyota GR engine
Toyota GZ engine
H
Toyota H engine
Toyota HD engine
Toyota HZ engine
J
Toyota J engine
Toyota JZ engine
K
Toyota K engine
Toyota KD engine
Toyota KR engine
Toyota KZ engine
L
Toyota L engine
Toyota LR engine
M
Toyota M engine
Toyota MZ engine
N
Toyota N engine
Toyota ND engine
Toyota NR engine
Toyota NZ engine
P
Toyota P engine
Toyota PZ engine
R
Toyota R engine
Toyota RZ engine
S
Toyota S engine
Toyota SZ engine
Toyota Type S Engine
T
Toyota RI4A
Toyota T engine
Toyota TR engine
Toyota TZ engine
U
Toyota U engine
Toyota UR engine
Toyota UZ engine
V
Toyota V engine
Toyota VD Engine
Toyota VZ engine
W
Toyota W engine
Toyota WW engine
Y
Toyota Y engine
Z
Toyota ZR engine
Toyota ZZ engine

KUANZIA LEO JIULIZE UJIHUKUMU KUWA HUWA UNA NUNUA AINA YA BODY AU INJINI?? UNAPENDA IST KWA SABABU YA AINA YA INJINI ILIOMO HAITUMII MAFUTA ?. AU MBONA KUNA RUNX NA ALLEX NI BORA KULIKO IST KATIKA MATUMIZI ??
 
LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,068
Points
2,000

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,068 2,000
Huu ndo utaalam ninaozungumzia. Kwa watu wa magari wenye uelewa hutaka information kama hizi. Mimi ni mtu ambaye hupenda kujifunza sana na kuwa mdadisi. Sipend jibu la kuwa ndo ipo hivyo tu. Au watu wengi wanafanya hivyo.

Nataka sababu kwa kila jambo.so fundi asiseme tu "magari mengi wanaweka hiyo....
Mkuu kwa kuwa gari ya kwako basi jukum la kuifuatilia na kuitunza ni lako pia..huo ujuzi unaoutaka au elim unayotaka sio kwa mafundi tuu unaweza ukafika hata kwa dealer huto upata inshort wengi twaishi kwa mazoea tuu..

.

Hii inatupa sana shida na kuua magari na kuyaharibu sana.
 
Eminentia

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,368
Points
2,000

Eminentia

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,368 2,000
Je hakuna wataalam ambao wanaweza kunipa maelekezo ya
kitaalamu kwa nini niweke engine oil size tofauti na iliyokuwa
recommended wakati gari mpya?

ulivyomwambia hivi>>>>hapo chini ulikuwa na maana gani

Binafsi
nimemwambia nataka niweke Oil bora kwa ajili ya kutunza
Engine. But pia iwe sahihi kwa Gari ambayo imeshatembea
kms 190,000.

sini kwamba ulishaona gari imekula age or??
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
2,369
Points
2,000

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
2,369 2,000
Hio ni kweli. Mfano VW au Mercedes nyingi zikiwa mpya zinatumia engine oil nyepesi sana 0W30 au 5w30 ila zikishafikisha 100,000km au miaka kumi wanashauri utumie oil nzito kidogo ambayo ni 5W40 simply because it offers more protection for an old engin.
Boss nna verosa 1g-fe recomended oil ni 5w-30 lkn ni expensive na upatikanaji wake sio sana,nataka nihamie kwenye SAE-40.

Unanishauri vp hapo mkuu?
 
Forum statistics

Threads 1,344,080
Members 515,326
Posts 32,806,788
Top