Watanzania tuna lipi la kujivunia kama hii report ya Human Development Index inavyyonyesha tupo kuleeeeeeeeeee mwisho kabisa hata Uganda na Vita, Njaa, Umasikini, n. k bado wametupita shame, shame wewe na mimi . Shame kwa Kikwete na Viongozi wote. Nadhani nanze kufikiria kuukana Utanzania
ha ahaha ha ahaa yaani umenichekeshaa wewee...na kweli tujivunie amani na utulivu na ujinga wa sie watanzania..cz ingekua nchi nyingine ndo viongozi na serikali ndo hii vita ingekua hata ya majirani zetu ndogooo
labda kwa sasa tujivunie serikali yetu ya mafisadi na ya kishkaji...ambayo ina kila sifa mbaaaya...hivi ni lipi la maana saana serikali hii imeshafanya so far?
Mambo yanazidi kuwa mabaya kama tukisoma report ya Primary Scholl result, na tusubiri matokeo ya Form 4 ambayo yatatoka sometime January au early January hali inatisha.
Kama tunaamani mambo yako hivi Je amani ikitoweka itakuaje?