Tuna haja ya kuchagua CCM tena?

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Hali ni mbaya kila sekta, leo tumeshindwa kila sehemu ingawa wao wanajigamba kuwa "tumethubu, tutumeweza na tunasonga mbele" sasa sijui wameweza nini.
 

Attachments

  • 1431873334540.jpg
    71.5 KB · Views: 497
unadhani ukawa wakishika hatamu ndo tutaishi kama ulaya?
 
Huu ndo mwisho kwa utawala wa chama chakavu kila heri Ukawa mjipange kwenda ikulu
 
This time wanasema wanamchagua "MTU" sio chama hahahahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…