connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,775
- 3,842
Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
🤣🤣Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
kutoa siri za nguvu ya ufalme wa majeshi yako ni kosa la kimkakati.Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
Mwambie pia tuna nyumbu wa kutosha kabisaa!Tanzania inamiliki chawa wa mama kama mbadala wa ballistic missiles 😎
Technology ya mwaka 1800s huko unaileta dunia ya leo?
🤣 🤣 🤣Tanzania inamiliki chawa wa mama kama mbadala wa ballistic missiles 😎
🤣 🤣 🤣 🔊Balistic tunayo moja , mdomo wa Samia, mana unalipuka
Zinakusaidia nini?Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
Kama si tunazo pekee za kupaishwa na ungo,sijuiii?Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao
Chokochoko mchokoe pwezakutoa siri za nguvu ya ufalme wa majeshi yako ni kosa la kimkakati.
ni vizuri kufahamu tu kwamba,
yeyote atakaeleta chokochoko dhidi ya usalama wa mipaka au anga ya Tanazania, tutamfurahisha zaidi ya tulivyomfurahisha nduli idi amini dada mpaka sebuleni kwake 🐒
KWA mujibu wa CCM, Ngoja nizihesaba;Kama mlipa Kodi wa nchi pendwa. Nilitaka kujua mpaka sasa tunamiliki ballistic missiles ngapi ili maadui siku wanatuvamia tunaruka nao