Pole kwa huu mtihani mgumu. Hilo la kumwambia ukweli mume liepuke hasa ukitilia maanani mke kishakupigia magoti umsitiri kwenye ndoa yake. Ila kama mume yumo humu ndio siri ya mkewe kuhusu kusimamishwa kazi imeshavuja.
Bro, mumewe kapeleka malalamiko akihitaji malalamiko kwa maandishi, na itabidi wamjibu kwa maandishi pia.Pole kwa huu mtihani mgumu. Hilo la kumwambia ukweli mume liepuke hasa ukitilia maanani mke kishakupigia magoti umsitiri kwenye ndoa yake. Ila kama mume yumo humu ndio siri ya mkewe kuhusu kusimamishwa kazi imeshavuja.
Kama story hii ni ya kweli basi huyo mama ni mpuuzi na hastahili kuonewa huruma ama kufichiwa siri. Kama alijua alichokuwa anakifanya ni kibaya, kwa nini alikubali kufanya hivyo tena ndani ya ofisi? Si basi wangekwenda hata hotelini au guest house?
Halafu huyo mume wake inakuwaje anakuja kutaka kujua kwa maandishi ni kwa nini mmemsimamisha kazi mke wake? Kwani nyie kama ofisi mna uhusiano gani na huyo Bwana mpaka awatake maelezo kiofisi? Mjibu kwa urahisi huyo mume kwamba sababu zilizofanya mke wake asimamishwe ni za kiofisi na anayezijua ni mke wake, hivyo akamuulize mke wake. Huyo mume kwenu ni third party na hana haki ya kujua ni kwa nini mmemchukulia hiyo hatua mke wake. Amuulize mkewe.
Tiba
Bro, mumewe kapeleka malalamiko akihitaji malalamiko kwa maandishi, na itabidi wamjibu kwa maandishi pia.
Now, wakidanganya na Jamaa akaamua kufuatilia kwenye vyombo husika, ni issue nyingine kubwa sana. Besides, i'm sure huyo bi Mkubwa atakuwa kajaribu sana kumueleza mzee kilichotokea but he didn't buy it, ndio maana kawatega kwa maandishi tena.
Well, nadhani kila ofisi ina utaratibu wake, na according to the story inaonyesha hiyo ofisi wako obliged kufanya hivyo, ndio maana wamemuahidi watamjibu na wameshajadili namna ya kumjibu pia.Mkuu mume hana mamlaka yoyote ya kufuatilia kilichojiri kati ya mwajiriwa (mkewe) na mwajiri. Wanaweza kuamua kumpotezea pia kwamba kama mwajiri hawana obligation yoyote ya kumwambia sababu ya mkewe kusimamishwa kazi.