Tumwambie bado akiwa hai

Tumwambie bado akiwa hai

Yote uliyosema ni UZUSHI usio na ushahidi mahiri wala wa kudhania! Labda nikupe shule kidogo. Hapo zamani lilikuwapo Pori Tengefu la Burigi - Chato na lilikuwa na anyama kama ilivyo kwa Mapori yote nchini. Kilichofanyika ni kuipandisha hadhi tu na kuwa Mbuga ya Burigi- Chato, hii kazi inafanywa na Wizara husika. Lakini penye ukosefu wa HOJA ndipo unaibuka UZUSHI kama huu wa "mshunami" ambao msingi wake ni Lissu!

Halafu kuhusu uwanja wa ndege wa Chato, ni kuwa kwanza uwanja huo kwa hadhi na gredi za viwanja, unaitwa AIRSTRIP yaani kihadhi ni chini ya AIRPORT! Hiyo shule ya kwanza. Shule ya pili ni kuwa hicho ni kiwanja cha ndege cha mkoa wa Geita, kikiwa hapo Chato. Hakikujengwa Geita wilayani kwa sababu za kisayansi haususan kutokana na uwepo wa dhahabu eneo hilo. Ugomvi hapa ni kuwa kwako wewe ni kuwa CHATO = MAGUFULI! This is wrong!

Kuhusu suala la Lissu kupigwa risasi ni hivi: Lissu alipigwa risasi 16 ZA NDEGE na watu wa CHADEMA kwa nia na lengo la kufanikisha KWENDA kwake Ulaya ili arudi sasa na kujaribu kuiingiza nchi yetu kwenye VURUGU! Ndiyo maana hata matibabu yake mlikataa asitibiwe nchini kwani siri ya hizo risasi za ndege INGEFUMUKA! Huu ni mpango wa muda mrefu sana kati ya mabeberu, CHADEMA na Lissu. Labda nikukumbushe kuwa CHADEMA ndio wenye historia na uzoefu wa kuteka na kuua watu. Unakumbuka habari na kifo cha CHACHA? Unakumbuka kupotea kwa SAATISA? Unakumbuka kifo cha yule dada Msomi? Hili la juzi kule Njombe nadhani hujalisahau!? Huo ni ushahidi wa machache, yapo mengi na tunayajua ila hatutaki kuwapeni faida.
Kwa nini hao wachadema waliompiga Tundu risasi hawajakamatwa na dola ya Magufuli iliyojipambanua kuwa kinyume na chadema? Humu ndani ya jamvi hili huelewi unampinga nani mewenye facts zipi. Ndugu zetu wanajeshi ndio walikuwa wanasafirisha wanyama hao kwa malori ya jeshi. Baba zetu wanaofanya kazi Tanapa ndio waliohamishiwa huko kwenye mbuga hiyo mpya. Wewe ndiwe huenda unazusha kwa minajili tu ya Kampeni. Hatuishi nje ya nchi. Tumo mumu humu ndani ya system hii hii! Nanena ninachikijua fika.
 
Kwa nini hao wachadema waliompiga Tundu risasi hawajakamatwa na dola ya Magufuli iliyojipambanua kuwa kinyume na chadema? Humu ndani ya jamvi hili huelewi unampinga nani mewenye facts zipi. Ndugu zetu wanajeshi ndio walikuwa wanasafirisha wanyama hao kwa malori ya jeshi. Baba zetu wanaofanya kazi Tanapa ndio waliohamishiwa huko kwenye mbuga hiyo mpya. Wewe ndiwe huenda unazusha kwa minajili tu ya Kampeni. Hatuishi nje ya nchi. Tumo mumu humu ndani ya system hii hii! Nanena ninachikijua fika.
Kuhusu la TANAPA na kuhamishia Wanyama huko NANI KABISHA!? Labda hujui namna Parks zinavyo anzishwa; kuhamisha Wanyama wa aina Fulani kutoka mbuga moja kwenda nyingine ni kitu cha kawaida san, ndio maana hata wale mafisadi, unawateta humu, walihamisha hata Twiga na kuwapeleka nje ya nchi. Kosa lenu, linalotokana na chuki, ni kujaribu kufikiri kuwa CHATO = MAGUFULI. Hivyo kulivalia njuga hilo suala mbuga ya BURIGI - CHATO na wenzako wana kwenda mbali zaidi na kuupakazia uwanja wa ndege Chato! Kwa nini? Sijui labda ni chuki binafsi na kukarir maneno ya uongo ya akina Amsterdam na genge lake kwa nia OVU.

Kuhusu kukamatwa kwa waliompiga Lissu risasi za ndege ni kuwa bado wanamsubiri dreva wa Lissu ahojiwe then mambo yaendelee, lakini mmeamu kumficha huko Kenya au Ubelgiji. Akija tu na kuhojiwa, kila kitu kitakuwa hadharani.
 
Back
Top Bottom