Tumwambie bado akiwa hai

Tumwambie bado akiwa hai

Ndugu watanzania wenzangu, salaam.

Imekuwa kama sehemu ya utamaduni kutokumpa mtu sifa zake njema angali hai bali ni rahisi sana kuona yale mabaya au tusiyoyapenda. Mtu huyohuyo anapokufa ndio sasa utasikia mema yake lukuki mengine hata hukuwahi kuyasikia.

Awali ya yote, napenda kukumbusha japo ninajua tunafahamu ya kuwa Magufuli kwa mama yake yeye ni mtoto, yaani John, yeye ni mume wa Janet, baba wa akina Jesca na ndugu zake, mjomba, baba mkubwa/mdogo, rafiki na mtanzania kama nilivyo mimi na wewe.

Tukumbuke kuwa Magufuli hajawa malaika na kamwe hatakuwa malaika. Magufuli sio mtakatifu na wala hajaingia kwenye mchakato wa kuwa mwenye heri. John is just a man.

Ninatambua kuwa unapokuwa Rais kuna sifa za ziada zinazotarajiwa kwako lakini pamoja nazo bado hazikuondolei ule uasili wa ubinadamu wako.

Rais John Magufuli anao udhaifu wake kama mwanadamu lakini tupime zaidi uimara wake hasa kwenye taasisi hiyo ya urais na pale tunapoona madhaifu, basi tumkosoe kistaarabu.

Rais Magufuli amejitahidi mno na nadhani amewashinda marais wote waliomtangulia kwa kigezo cha mambo aliyoyafanya kimaendeleo katika kipindi hiki cha miaka mitano.

Kwanza amekuza sana makusanyo ya Kodi. Udhaifu katika makusanyo ya kodi kilikuwa kilio cha wengi hasa wapinzani. Ameongeza kasi kwenye ujenzi wa barabara na madaraja. Serikali ya awamu ya tano imenunua meli na vivuko vipya.

Kwenye Kilimo mikopo inatolewa kwa wakulima, anapambana na watu wa Kati wanaowadhulumu wakulima. Njaa sasa imekuwa historia nchini kwetu. Nidhamu imeimarika sana serikalini hivyo kuboresha huduma. Rushwa imedhibitiwa kwa kiwango kizuri.

Tumeongeza ndege na kufufua shirika la ndege. Mgawo wa umeme umebaki kuwa historia. Umeme umesambazwa maeneo mbalimbali ya nchi mpaka vijijini. Maji yameendelea kusambazwa.

Elimu bila malipo ambayo imeongeza udahili. Shule zote kongwe zimekarabatiwa kwa kiwango kizuri na kurejesha kiwango chake cha awali. Shule za umma sasa zinaanza kurudi kwenye kumi bora. Zahanati na hospitali nyingi zimejengwa, bajeti ya dawa imeongezwa sana. Sera yetu ya mambo ya nje imehuishwa na kuwa inaingalia Tanzania kwanza.

Mambo ni mengi na takwimu zipo. Ukiangalia vizuri utaona Rais Magufuli amegusa kila nyanja na hii ndio maana tumeingia kwenye uchumi wa kati. Ukiwa na jicho la kuangalia baya ni lipi kwenye kila jema basi huwezi kuona kazi kubwa iliyofanyika.

Rai yangu ni kuwa Rais Magufuli ni mchapakazi na mtu mkweli. Tumuunge Mkono kwa kufanya kazi kwa bidii. Kwa wapinzani, ninawashauri wajikite zaidi kwenye kuojenga nchi badala ya kuikwamisha. Mambo yakiharibika, haharibikiwi Magufuli peke yake, tunaharibikiwa watanzania.

Magufuli amekuwa Rais wa mfano, tumuunge mkono kwa vitendo na kuhakikisha tunampa kura tarehe 28.10.2020 ili atupaishe zaidi kama nchi.

Mungu mbariki Rais Magufuli

Mungu ubariki uchaguzi mkuu wa tarehe 28.10.2020

Mungu ibariki Tanzania

Amani Msumari

Tanga
Rubbish
 
Nitajie mradi mmoja mkubwa aliouanza magufuli na kuukamilisha tangueaingie madarakani.
Ukishasema mradi mkubwa maana yake ni mkubwa kweli sio kwa pesa tuu Ila hata kwa muda. Cha msingi ni kuona maendeleo ya mradi huo yakoje. Tupo vizuri kwenye ujenzi wa reli ya kisasa, bwawa la Nyerere, barabara ya njia 6 kutoka Ubungo mpaka Chalinze na madaraja makubwa Dar na Mwanza. Flyover ya ubungo iko 90%, barabara nyingi alizozianza zimekamilika. Vituo vya afya na zahanati nyingi zimekamilika. Hospitali za wilaya na mikoa, nyingi zimekamilika
 
Umeanza vizuri ila umeharibu kwa kuorodhesha mazuri tu aliyoyafanya hujataka kuorodhesha mabaya yake ili kupime mizania.

Hivyo hoja yako imebaki inaelea, na zaidi sana umejikita kwenye kumpigia kampeni.
 
Kunibadilisha miimi msimamo haiwezekani.Ni kama unajilisha upepo kwa kijiko ukitegemea utashiba.Utaishia kupiga mbwewe tu.
Ila moyo wangu utakuwa na amani kwa kufanikiwa kukufikishia habari njema hata kama umeamua kushupaza shingo yako
 
Eti mgawo wa umeme umekuwa historia unataka kutukanwa au mm nimeona niishie hapo maana apa nilipo wameshakata umeme
 
watakupataje sasa namba za simu umesahau. Lisu2020
 
Ila moyo wangu utakuwa na amani kwa kufanikiwa kukufikishia habari njema hata kama umeamua kushupaza shingo yako
Ndiyo mwanzo wa kuvunjika shingo,moyo hadi nafsi.Ninyi endeleeni kubugizwa chipsi kavu na kupiga magoti mkijidai kuomba kura wakati ni utapeli mtupu.
 
Umeanza vizuri ila umeharibu kwa kuorodhesha mazuri tu aliyoyafanya hujataka kuorodhesha mabaya yake ili kupime mizania.

Hivyo hoja yako imebaki inaelea, na zaidi sana umejikita kwenye kumpigia kampeni.
Nimesema anayo madhaifu Kama tulivyo mimi na wewe kwani no man is perfect ika mazuri yake ni mengi Sana na kwahayo tunastahili kumchagua tena
 
Wachaga hawajahi kuwa wajinga hata siku moja
Mchaga sio mtanzania wewe, ongeza uwezo wa kufikiri unapoingia kwenye jamvi hili, sijui wewe ni jitu la Nchi gani wewe,

Huku Tanzania, Tunawatanzania na tunajivunia utanzania wetu!

Jinga kabisa we mlugaluga, kaa huko huko kenya mlikozowea ukabila,
Eboo!
 
Ukishasema mradi mkubwa maana yake ni mkubwa kweli sio kwa pesa tuu Ila hata kwa muda. Cha msingi ni kuona maendeleo ya mradi huo yakoje. Tupo vizuri kwenye ujenzi wa reli ya kisasa, bwawa la Nyerere, barabara ya njia 6 kutoka Ubungo mpaka Chalinze na madaraja makubwa Dar na Mwanza. Flyover ya ubungo iko 90%, barabara nyingi alizozianza zimekamilika. Vituo vya afya na zahanati nyingi zimekamilika. Hospitali za wilaya na mikoa, nyingi zimekamilika
Umeona ? Hakuna mradi mkubwa alioanzisha magu na kuukamilisha isipokuwa vibarabara vifupi na vimajengo vya hospitali. Hiyo reli haijafika hata robo, bwawa la umeme pengine 2023, ndege ndio hizo zinepakiwa na mtu asihoji, madaraja yanaendelea kujengwa, hakuna... na ni ajabu kwa kelele zinazopigwa utadhani hakuna rais aliyewahi kufanya kitu. Mpaka sasa hajakuta theluthi ya aliyofanya Kikwete. Sijataja mapungufu ya magu ambayo kila kiumbe kinajua amepitiliza kwa dhuluma, mauaji,nk
 
Eti mgawo wa umeme umekuwa historia unataka kutukanwa au mm nimeona niishie hapo maana apa nilipo wameshakata umeme
Jitekenye halafu ruka ruka kwa vicheko ukishatulia ndio utagundua kuna tofauti kati ya kukatwa/kukatika umeme (power cut) na mgawo wa umeme (power ration)
 
Ila kiukweli Tundu Lissu anahitaji sifa akiwa hai kapitia mengi lkn bado anapambana kuwatetea wanyonge
 
Ndiyo mwanzo wa kuvunjika shingo,moyo hadi nafsi.Ninyi endeleeni kubugizwa chipsi kavu na kupiga magoti mkijidai kuomba kura wakati ni utapeli mtupu.
Kwani basi mwanadamu anajema? Juzi Kati walisema Mzee hayupo siriasi na kampeni ni kama anahutubia wananchi, kaamua kupiga magoti ili kuonesha kushuka na kuwa wananchi ndio mabosi wake, bado hamridhiki na ndio maana mimi husema "JPM kanyaga twende"
 
Asante sana kwa bandiko hili. Kuna wengi watajifunza.
Kubwa Zaidi ni Kura za kishindo October 28.
 
Back
Top Bottom