Tumwambie bado akiwa hai

Tumwambie bado akiwa hai

Ndugu watanzania wenzangu, salaam.

Imekuwa kama sehemu ya utamaduni kutokumpa mtu sifa zake njema angali hai bali ni rahisi sana kuona yale mabaya au tusiyoyapenda. Mtu huyohuyo anapokufa ndio sasa utasikia mema yake lukuki mengine hata hukuwahi kuyasikia.

Awali ya yote, napenda kukumbusha japo ninajua tunafahamu ya kuwa Magufuli kwa mama yake yeye ni mtoto, yaani John, yeye ni mume wa Janet, baba wa akina Jesca na ndugu zake, mjomba, baba mkubwa/mdogo, rafiki na mtanzania kama nilivyo mimi na wewe.

Tukumbuke kuwa Magufuli hajawa malaika na kamwe hatakuwa malaika. Magufuli sio mtakatifu na wala hajaingia kwenye mchakato wa kuwa mwenye heri. John is just a man.

Ninatambua kuwa unapokuwa Rais kuna sifa za ziada zinazotarajiwa kwako lakini pamoja nazo bado hazikuondolei ule uasili wa ubinadamu wako.

Rais John Magufuli anao udhaifu wake kama mwanadamu lakini tupime zaidi uimara wake hasa kwenye taasisi hiyo ya urais na pale tunapoona madhaifu, basi tumkosoe kistaarabu.

Rais Magufuli amejitahidi mno na nadhani amewashinda marais wote waliomtangulia kwa kigezo cha mambo aliyoyafanya kimaendeleo katika kipindi hiki cha miaka mitano.

Kwanza amekuza sana makusanyo ya Kodi. Udhaifu katika makusanyo ya kodi kilikuwa kilio cha wengi hasa wapinzani. Ameongeza kasi kwenye ujenzi wa barabara na madaraja. Serikali ya awamu ya tano imenunua meli na vivuko vipya.

Kwenye Kilimo mikopo inatolewa kwa wakulima, anapambana na watu wa Kati wanaowadhulumu wakulima. Njaa sasa imekuwa historia nchini kwetu. Nidhamu imeimarika sana serikalini hivyo kuboresha huduma. Rushwa imedhibitiwa kwa kiwango kizuri.

Tumeongeza ndege na kufufua shirika la ndege. Mgawo wa umeme umebaki kuwa historia. Umeme umesambazwa maeneo mbalimbali ya nchi mpaka vijijini. Maji yameendelea kusambazwa.

Elimu bila malipo ambayo imeongeza udahili. Shule zote kongwe zimekarabatiwa kwa kiwango kizuri na kurejesha kiwango chake cha awali. Shule za umma sasa zinaanza kurudi kwenye kumi bora. Zahanati na hospitali nyingi zimejengwa, bajeti ya dawa imeongezwa sana. Sera yetu ya mambo ya nje imehuishwa na kuwa inaingalia Tanzania kwanza.

Mambo ni mengi na takwimu zipo. Ukiangalia vizuri utaona Rais Magufuli amegusa kila nyanja na hii ndio maana tumeingia kwenye uchumi wa kati. Ukiwa na jicho la kuangalia baya ni lipi kwenye kila jema basi huwezi kuona kazi kubwa iliyofanyika.

Rai yangu ni kuwa Rais Magufuli ni mchapakazi na mtu mkweli. Tumuunge Mkono kwa kufanya kazi kwa bidii. Kwa wapinzani, ninawashauri wajikite zaidi kwenye kuojenga nchi badala ya kuikwamisha. Mambo yakiharibika, haharibikiwi Magufuli peke yake, tunaharibikiwa watanzania.

Magufuli amekuwa Rais wa mfano, tumuunge mkono kwa vitendo na kuhakikisha tunampa kura tarehe 28.10.2020 ili atupaishe zaidi kama nchi.

Mungu mbariki Rais Magufuli

Mungu ubariki uchaguzi mkuu wa tarehe 28.10.2020

Mungu ibariki Tanzania

Amani Msumari

Tanga
Umeyasema yote kwa weledi wa hali ya juu na wenye akili zenye akili wameyasoma na kuyaelewa bara bara. Tungoje utekelezaji tu hapo 28/10/2020.
 
Umeona ? Hakuna mradi mkubwa alioanzisha magu na kuukamilisha isipokuwa vibarabara vifupi na vimajengo vya hospitali. Hiyo reli haijafika hata robo, bwawa la umeme pengine 2023, ndege ndio hizo zinepakiwa na mtu asihoji, madaraja yanaendelea kujengwa, hakuna... na ni ajabu kwa kelele zinazopigwa utadhani hakuna rais aliyewahi kufanya kitu. Mpaka sasa hajakuta theluthi ya aliyofanya Kikwete. Sijataja mapungufu ya magu ambayo kila kiumbe kinajua amepitiliza kwa dhuluma, mauaji,nk
Umejipanga kubisha Ila ukweli nimeshajueleza na tutaendelea kuwaelimusha watanzania wengi zaidi
 
Asante sana kwa bandiko hili. Kuna wengi watajifunza.
Kubwa Zaidi ni Kura za kishindo October 28.
Nakushukuru sana mkuu. Nitoe rai kwako na kwa wapenda maendeleo wengine, tusiishie tuu sisi kumpigia kura Rais Magufuli bali tuhamasishe na wengine waende kumpigia kura Magufuli na madiwani na wabunge wa CCM
 
Kura za kwenda kwake Chatto au The Hague akileta tafrani baada ya kubwagwa
Viongozi wenu wanawadanganya sana kuwa watashinda Ila wataibiwa hivyo muingie barabarani kutetea ushindi. Ngoja niwaeleze, ni kweli viongozi wenu watashinda na njaa bure tuu. Nishauri kitu:

Viongozi wenu wakiwaambia muingie barabarani, waqmbieni mnataka kwanza kuwaona wao viongozi wakiwa mstari wa mbele (Frontline) wao, wake zao na watoto wao ili na nyie mpate nguvu ya kuandamana ili Kama ni gharika basi mgharike wote au sio bwana
 
Umeyasema yote kwa weledi wa hali ya juu na wenye akili zenye akili wameyasoma na kuyaelewa bara bara. Tungoje utekelezaji tu hapo 28/10/2020.
Asante sana mkuu. Tuhakikishe JPM na timu yake yaani wabunge na madiwani wa CCM wanashinda kwa kishindo ili nchi yetu izidi kupaa na kuwaepuka hawa wapinga maendeleo
 
Ndugu watanzania wenzangu, salaam.

Imekuwa kama sehemu ya utamaduni kutokumpa mtu sifa zake njema angali hai bali ni rahisi sana kuona yale mabaya au tusiyoyapenda. Mtu huyohuyo anapokufa ndio sasa utasikia mema yake lukuki mengine hata hukuwahi kuyasikia.

Awali ya yote, napenda kukumbusha japo ninajua tunafahamu ya kuwa Magufuli kwa mama yake yeye ni mtoto, yaani John, yeye ni mume wa Janet, baba wa akina Jesca na ndugu zake, mjomba, baba mkubwa/mdogo, rafiki na mtanzania kama nilivyo mimi na wewe.

Tukumbuke kuwa Magufuli hajawa malaika na kamwe hatakuwa malaika. Magufuli sio mtakatifu na wala hajaingia kwenye mchakato wa kuwa mwenye heri. John is just a man.

Ninatambua kuwa unapokuwa Rais kuna sifa za ziada zinazotarajiwa kwako lakini pamoja nazo bado hazikuondolei ule uasili wa ubinadamu wako.

Rais John Magufuli anao udhaifu wake kama mwanadamu lakini tupime zaidi uimara wake hasa kwenye taasisi hiyo ya urais na pale tunapoona madhaifu, basi tumkosoe kistaarabu.

Rais Magufuli amejitahidi mno na nadhani amewashinda marais wote waliomtangulia kwa kigezo cha mambo aliyoyafanya kimaendeleo katika kipindi hiki cha miaka mitano.

Kwanza amekuza sana makusanyo ya Kodi. Udhaifu katika makusanyo ya kodi kilikuwa kilio cha wengi hasa wapinzani. Ameongeza kasi kwenye ujenzi wa barabara na madaraja. Serikali ya awamu ya tano imenunua meli na vivuko vipya.

Kwenye Kilimo mikopo inatolewa kwa wakulima, anapambana na watu wa Kati wanaowadhulumu wakulima. Njaa sasa imekuwa historia nchini kwetu. Nidhamu imeimarika sana serikalini hivyo kuboresha huduma. Rushwa imedhibitiwa kwa kiwango kizuri.

Tumeongeza ndege na kufufua shirika la ndege. Mgawo wa umeme umebaki kuwa historia. Umeme umesambazwa maeneo mbalimbali ya nchi mpaka vijijini. Maji yameendelea kusambazwa.

Elimu bila malipo ambayo imeongeza udahili. Shule zote kongwe zimekarabatiwa kwa kiwango kizuri na kurejesha kiwango chake cha awali. Shule za umma sasa zinaanza kurudi kwenye kumi bora. Zahanati na hospitali nyingi zimejengwa, bajeti ya dawa imeongezwa sana. Sera yetu ya mambo ya nje imehuishwa na kuwa inaingalia Tanzania kwanza.

Mambo ni mengi na takwimu zipo. Ukiangalia vizuri utaona Rais Magufuli amegusa kila nyanja na hii ndio maana tumeingia kwenye uchumi wa kati. Ukiwa na jicho la kuangalia baya ni lipi kwenye kila jema basi huwezi kuona kazi kubwa iliyofanyika.

Rai yangu ni kuwa Rais Magufuli ni mchapakazi na mtu mkweli. Tumuunge Mkono kwa kufanya kazi kwa bidii. Kwa wapinzani, ninawashauri wajikite zaidi kwenye kuojenga nchi badala ya kuikwamisha. Mambo yakiharibika, haharibikiwi Magufuli peke yake, tunaharibikiwa watanzania.

Magufuli amekuwa Rais wa mfano, tumuunge mkono kwa vitendo na kuhakikisha tunampa kura tarehe 28.10.2020 ili atupaishe zaidi kama nchi.

Mungu mbariki Rais Magufuli

Mungu ubariki uchaguzi mkuu wa tarehe 28.10.2020

Mungu ibariki Tanzania

Amani Msumari

Tanga
Nikweli kabisa Ila ameshindwa kuishi mioyoni mwa watu kiasi ukionekana unasifia unaongezw wingi wa maadui na sio marafiki ask why? Kumbuka hiz ni rasha Rasha mvua itakuwa mbaya Sana baada ya kipindi chake cha pili
 
Sijui kwa nini nimesoma
 
Mbona kama kuna harufu ya ukabila na ukanda?
Nadhani moja ya sifa za JpMagufl ni ukanda. Hataki hata kidogo maendeleoya kanda ya Kaskazini wala watu wake. Sijawahi kusikia raisi anayeanzisha mbuga ya wanyama kwenye wilaya yake kwa kuhamisha wanyama kutoka mbuga ya mbali. Sababu yake kubwa ni kwamba "Kwanini mbuga zipo kanda ile na hazipo kwetu?" Amehamisha wanyama kutoka Serengeti, amejenga hoteli ya kimataifa, amejenga na eapoti kwake ili afanane na watu wa kanda ile. Aliondoa watu wa kanda ile kwenye vyeo vya kuteuliwa na kuweka watu wa kanda yake! Ni lazima aambiwe hilo kabla ya kufa.
Ni lazima aambiwe kuwa utawala wake ulijaa watu kutekwa na kuuwawa kuliko mwingine wowote uliopita katika Tanzania. Ushahidi mkubwa ni Tundu Lissu. Alipigwa risasi 16 na ni Mungu tu aliyemnusuru kwa sababu ana mpango naye. MO Dewji alitekwa akarudishiwa karibu na Ikulu. Katika awamu za maraisi waliopita hapakuwa na kundi la watu wanaoitwa wasiojulikana. Huo ni moja ya udhaifu wake mkubwa.
 
Jiwe hana zuri lolote hapa duniani labda kuzimu
 
Nikweli kabisa Ila ameshindwa kuishi mioyoni mwa watu kiasi ukionekana unasifia unaongezw wingi wa maadui na sio marafiki ask why? Kumbuka hiz ni rasha Rasha mvua itakuwa mbaya Sana baada ya kipindi chake cha pili
Watu wema pia huchukiwa kwasababu wanaziba mianya ya watu waliozoea kupiga dili
 
Nadhani moja ya sifa za JpMagufl ni ukanda. Hataki hata kidogo maendeleoya kanda ya Kaskazini wala watu wake. Sijawahi kusikia raisi anayeanzisha mbuga ya wanyama kwenye wilaya yake kwa kuhamisha wanyama kutoka mbuga ya mbali. Sababu yake kubwa ni kwamba "Kwanini mbuga zipo kanda ile na hazipo kwetu?" Amehamisha wanyama kutoka Serengeti, amejenga hoteli ya kimataifa, amejenga na eapoti kwake ili afanane na watu wa kanda ile. Aliondoa watu wa kanda ile kwenye vyeo vya kuteuliwa na kuweka watu wa kanda yake! Ni lazima aambiwe hilo kabla ya kufa.
Ni lazima aambiwe kuwa utawala wake ulijaa watu kutekwa na kuuwawa kuliko mwingine wowote uliopita katika Tanzania. Ushahidi mkubwa ni Tundu Lissu. Alipigwa risasi 16 na ni Mungu tu aliyemnusuru kwa sababu ana mpango naye. MO Dewji alitekwa akarudishiwa karibu na Ikulu. Katika awamu za maraisi waliopita hapakuwa na kundi la watu wanaoitwa wasiojulikana. Huo ni moja ya udhaifu wake mkubwa.
Kila kitu kinategemea unakiangalia kutokea upande upi kwa lenzi ipi. O yaweza kuwa herufi au namba kutegemeana na mkuktadha halinkadhalika kwa namba sita na tisa.

Kuanzisha mbuga ya wanyama yawezaje kuwa shida ndugu yangu? Mbuga ni ya taifa sio ya Magufuli. Pesa zitakazopatikana zitaingia hazina na Kukuza pato la taifa lakini mbuga itaongeza ajira na idadi ya wanyama nchini kwetu. Shida iko wapi jameni?

Treni ya abiria na mizigo imerudishwa huko Kanda ya kaskazini. Kama haitoshi, Kanda ya kaskazini ni miongoni mwa maeneo yaliyopata miradi mikubwa ya barabara. Upendeleo huo unaouongelea uko wapi?

Ishu ya watu kupotea na kutekwa iko wazi, watu wasiojulikana. Unajuaje kama ni moja ya njama ya watu kutengeneza mazingira ya kuihujumu serikali ili ionekane kuwa ndio inahusika? Mara ngapi watu wamekuwa wakijiteka ili ionekane serikali imehusika?

Tuache chuki binafsi, tujenge nchi yetu.

#2020 kura kwa John
 
Kila kitu kinategemea unakiangalia kutokea upande upi kwa lenzi ipi. O yaweza kuwa herufi au namba kutegemeana na mkuktadha halinkadhalika kwa namba sita na tisa.

Kuanzisha mbuga ya wanyama yawezaje kuwa shida ndugu yangu? Mbuga ni ya taifa sio ya Magufuli. Pesa zitakazopatikana zitaingia hazina na Kukuza pato la taifa lakini mbuga itaongeza ajira na idadi ya wanyama nchini kwetu. Shida iko wapi jameni?

Treni ya abiria na mizigo imerudishwa huko Kanda ya kaskazini. Kama haitoshi, Kanda ya kaskazini ni miongoni mwa maeneo yaliyopata miradi mikubwa ya barabara. Upendeleo huo unaouongelea uko wapi?

Ishu ya watu kupotea na kutekwa iko wazi, watu wasiojulikana. Unajuaje kama ni moja ya njama ya watu kutengeneza mazingira ya kuihujumu serikali ili ionekane kuwa ndio inahusika? Mara ngapi watu wamekataa wakijiteka ili ionekane serikali imehusika?

Tuache chuki binafsi, tujenge nchi yetu.

#2020 kura kwa John
Nakuacha kwa kuwa umekiri kuvaa miwani ya njano na kijani! Kila unachoangalia kinakuwa na rangi hizo. Ila hebu vua hiyo miwani uangalie kila kitu katika uhalisia wake. Itakusaidia kuwa na mtizamo ( world-view) halisi.
 
Mchaga sio mtanzania wewe, ongeza uwezo wa kufikiri unapoingia kwenye jamvi hili, sijui wewe ni jitu la Nchi gani wewe,

Huku Tanzania, Tunawatanzania na tunajivunia utanzania wetu!

Kina kabisa we mlugaluga, kaa huko huko kenya mlikozowea ukabila,
Eboo!
Watu dizaini hii ndio wanaopigia upatu serikali ya majimbo
 
Nadhani moja ya sifa za JpMagufl ni ukanda. Hataki hata kidogo maendeleoya kanda ya Kaskazini wala watu wake. Sijawahi kusikia raisi anayeanzisha mbuga ya wanyama kwenye wilaya yake kwa kuhamisha wanyama kutoka mbuga ya mbali. Sababu yake kubwa ni kwamba "Kwanini mbuga zipo kanda ile na hazipo kwetu?" Amehamisha wanyama kutoka Serengeti, amejenga hoteli ya kimataifa, amejenga na eapoti kwake ili afanane na watu wa kanda ile. Aliondoa watu wa kanda ile kwenye vyeo vya kuteuliwa na kuweka watu wa kanda yake! Ni lazima aambiwe hilo kabla ya kufa.
Ni lazima aambiwe kuwa utawala wake ulijaa watu kutekwa na kuuwawa kuliko mwingine wowote uliopita katika Tanzania. Ushahidi mkubwa ni Tundu Lissu. Alipigwa risasi 16 na ni Mungu tu aliyemnusuru kwa sababu ana mpango naye. MO Dewji alitekwa akarudishiwa karibu na Ikulu. Katika awamu za maraisi waliopita hapakuwa na kundi la watu wanaoitwa wasiojulikana. Huo ni moja ya udhaifu wake mkubwa.
Yote uliyosema ni UZUSHI usio na ushahidi mahiri wala wa kudhania! Labda nikupe shule kidogo. Hapo zamani lilikuwapo Pori Tengefu la Burigi - Chato na lilikuwa na anyama kama ilivyo kwa Mapori yote nchini. Kilichofanyika ni kuipandisha hadhi tu na kuwa Mbuga ya Burigi- Chato, hii kazi inafanywa na Wizara husika. Lakini penye ukosefu wa HOJA ndipo unaibuka UZUSHI kama huu wa "mshunami" ambao msingi wake ni Lissu!

Halafu kuhusu uwanja wa ndege wa Chato, ni kuwa kwanza uwanja huo kwa hadhi na gredi za viwanja, unaitwa AIRSTRIP yaani kihadhi ni chini ya AIRPORT! Hiyo shule ya kwanza. Shule ya pili ni kuwa hicho ni kiwanja cha ndege cha mkoa wa Geita, kikiwa hapo Chato. Hakikujengwa Geita wilayani kwa sababu za kisayansi haususan kutokana na uwepo wa dhahabu eneo hilo. Ugomvi hapa ni kuwa kwako wewe ni kuwa CHATO = MAGUFULI! This is wrong!

Kuhusu suala la Lissu kupigwa risasi ni hivi: Lissu alipigwa risasi 16 ZA NDEGE na watu wa CHADEMA kwa nia na lengo la kufanikisha KWENDA kwake Ulaya ili arudi sasa na kujaribu kuiingiza nchi yetu kwenye VURUGU! Ndiyo maana hata matibabu yake mlikataa asitibiwe nchini kwani siri ya hizo risasi za ndege INGEFUMUKA! Huu ni mpango wa muda mrefu sana kati ya mabeberu, CHADEMA na Lissu. Labda nikukumbushe kuwa CHADEMA ndio wenye historia na uzoefu wa kuteka na kuua watu. Unakumbuka habari na kifo cha CHACHA? Unakumbuka kupotea kwa SAATISA? Unakumbuka kifo cha yule dada Msomi? Hili la juzi kule Njombe nadhani hujalisahau!? Huo ni ushahidi wa machache, yapo mengi na tunayajua ila hatutaki kuwapeni faida.
 
Back
Top Bottom