Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Bei yake ni karibu na bure tumia usafiri huu ili huyu kijana mwenzetu aweze kuanzisha kampuni yake ya kuunda magari.
Una hofia meno tu???Inayo breki hiyo? Tusije kung'oa meno bureee
Meno si ndio yanapendezesha sebuleni?Una hofia meno tu???
Usihofu bi dada hii gari ina breki wala hamtong'oka meno.Inayo breki hiyo? Tusije kung'oa meno bureee
Una hofia meno tu???
Huyu ni fundi wa kutengeneza magari au anachonga mabodi.? Maana engine hajafabricate yeye.Bei yake ni karibu na bure tumia usafiri huu ili huyu kijana mwenzetu aweze kuanzisha kampuni yake ya kuunda magari.
![]()
Nalog off
Huyu ni fundi wa kutengeneza magari au anachonga mabodi.? Maana engine hajafabricate yeye.
Eeeeh....tena ya sebleni utachekaje? Reception ndio kila kitu lol
Bei yake ni karibu na bure tumia usafiri huu ili huyu kijana mwenzetu aweze kuanzisha kampuni yake ya kuunda magari.
![]()
Speed yake inaanzia zeroSpeed yake inaanzia ngap?
Hazina kutu mkuu wala usihofu hilo.siti zake hazina kutu kweli?
Tujue kabisa tuchome sindano za kinga ya tt.
una maanisha kila kitu ni cha mzungu?kila mtu cha mzungu hapo
Tukianza kumsapoti kwenye uundaji wa bodi kasema ana mpango wa kuunda injini yake yeye mwenyewe.Support ya nni sasa bodi la mbao.?angekua katengeneaza onjin sawa ola bidi tu...hapana.