The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Mzuqa!
Kila nikisikiza kibao chake if I could turn the hand of time yani I become very emotional. Tumuombeeni Robert asifungwe. Akipatwa na hatia atafungwa miaka 70.
Huu uonevu wa blacks ni too much. Bill Cosby washamsweka sasa wanataka wamuinginze Robert no way Lord ingilia kati.

...nilidhani unamzungumzia r.kelly
...we mtoto umri wa kuwa shule, unampelekea R. Kelly eti sijui ni talent na matakataka kama hayo.....mwanaume ni wa kumuachia mtoto wa kike kweli, by nature ni viumbe vyenye exceptional feeling!...lazima mambo ya ngono yatawale!