jonas255
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 225
- 112
Wadau mimi ni miongoni mwa niliomsapoti sana huyu mkuu... Kila siku alikuwa akisimama jukwaani anaomba tumuombee.... Nimekaa nikatafakari kuhusu utendaji wake nikajiuliza tumuombee kwa lipi?
1) Watu wananyanyaswa na polisi kila siku tena kwa order anazotoa yeye.... Eti bado tumuombee?
2) Demokrasia inabanwa na kubakwa..... Eti tumuombee?
3) Uhuru wa habari na wa mawazo binafsi unabanwa,,,,,, eti tumuombee?
4) Yeye pamoja na watendaji wake wana dhalilisha watumishi wa umma na wafanya biashara..... Eti tumuombee?
5) Katiba inadharauliwa na sheria zinavunjwa,,,,, eti tumuombee?
Jamani hebu tusaidiane tujue tumuombee kwa lipi maana anachofanya hakionekani... Uchumi unayumba watu wanaishi kwa shida, mishahara haiongezwi huku kodi na makato yanapanda.... Kazi aliyonayo ni kuteua na kutengua,,,,, sasa mtu wa namna hii tumuombee kwa lipi? Hebu tusaidiane