Mkuu kubali hili tukio la leo linamaslai zaidi kwa CCM kuliko Chadema.But still walio arrange hii move
wamemuona Magufuli 'hana busara'
wametumia church kumlainisha
ujumbe uko very clear 'siasa sio uadui' fanyeni siasa zenu kwa amani
Haswaa...umenenaSeif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Teh Teh naona mmeanza kubadili gear ardhini na kuanza kucheza na maneno ooh kuporwa ushindi oooh kuibiwa kura...Kuna kuibiwa kura na kupokwa ushindi,huku tuliibiwa kura kule zanz walipokwa ushindi kwa hiyo ni mambo mawili tofauti ndio maana chadema hawakusema hawamtambui rais lakini cuf hawamtambui rais wa zanz hapo umeelewa
Lowasa ni fisadi na hilo halibadiliki na ana subiri mahakama yake.. Umeshawai kuona hilo limebadilishwa...mkuu,Lowasa bado ni fisadi?vipi?Mtampandisha ktk Mahakama ya Mafisadi?
mkuu,huoni kuwa Magufuli kaifutilia mbali ajenda yenu ya Ufisadi wa Lowasa?Hv JPM Atampeleka ktk Mahakama ya Mafisadi!?Nataka nione kwenye hili la fisadi Lowasa watasema nini?
Makamanda tumuige nani? Lowasa au Maalim Seif?
Hahahhaha
Wote wa kuigwa kulingana na mazingira kwani kila mtu anasababu yake ya muhimu ndio maana unaweza kuja mpira wa kupiga kwa kichwa lakini ukaupiga kwa mguu kulingana na ulivyo kaa.Teh Teh naona mmeanza kubadili gear ardhini na kuanza kucheza na maneno ooh kuporwa ushindi oooh kuibiwa kura...
Naomba mtujibu tumuige nani Lowasa au Seif?
Hivi umemsikia akizungumzia swala la mafisadi pale? Lowasa ni fisadi na agenda ipo pale pale... Hata alipo mvua uwaziri kitwanga walikutana na kusalimiana kama ni hivyo basi angemrudishia uwaziri.mkuu,huoni kuwa Magufuli kaifutilia mbali ajenda yenu ya Ufisadi wa Lowasa?Hv JPM Atampeleka ktk Mahakama ya Mafisadi!?
Unafiki ni kuamini kuwa ilikuwa sahihi kwa Seif Sharif Hamad kukataa salam ya Dr. Ali Mohamed Shein na pia kuamini ilikuwa sahihi kwa Edward Lowassa kushiriki na kusalimiana na kuzungumza na Rais Magufuli na Comrade Kinana japo wote madai yao ni kuibiwa kura zao za Urais
Kwahiyo kumbe na Magu alishinda kwa magumashi kama SheinSeif alipogoma kutoa hata mkono wa salamu wale wafia chama wa UKAWA wakasifia kwa mapambio yote ingawa tulisema si hekima. Leo kipenzi chao picha zake zinazunguka then wanapiga propaganda kuwa ana hekima sana! Hii nchi tunaiharibu wenyewe wala si zimwi la CCM! Ujinga na ushabiki unatupeleka pabaya sana.
Ushamba wa siasa, Mihemuko na double starndad ndiyo inawasumbua vijana hasa wa ufipa. Vitendo kama hicho alichokifanya lowassa kingefanywa na mtu mwingine kama Nassari watu wangekuwa wanasema msaliti ooh hajielewi.Wote wa kuigwa kulingana na mazingira kwani kila mtu anasababu yake ya muhimu ndio maana unaweza kuja mpira wa kupiga kwa kichwa lakini ukaupiga kwa mguu kulingana na ulivyo kaa.
Yao yao yetu yetu lila na fila havichangamanilowassa kapunguza makali ya UKUTA..
sidhan kama kuna watu watakuwa bado na mzuka wa kuandamana..
na nnavyo mjua mtukufu, atatumia vizuri hiyo kete.
ni vigumu kukataa mkono kanisani,
Ingekuwa heri asingeenda kabisa.
viva seif viva..
Hivi unaelewa effects za personal reaction na party politics? Unajua propaganda uchwara ni short term weapons ambazo madhara yake hayabebeki kama unajitambua?Wabongo tunashindwa kuwa objective katika kutoa mawazo kwa kuwa tunapenda saaana vyama..saaa mnalazima personalities za lowasa na seif zifanane kwakuwa wote ukawa bila kujua kuwa hawa n watu wawil tofauti na wamekuwaraised katka mazngira tofauti.....they can't have the same reaction when it comes to personal reaction towards events.....kwakuwa wote wapo Ukawa basi wawe na reaction sawa in personal matters.......... Si kweli na haiwezekani
Acha taaarabu elezea babuHivi unaelewa effects za personal reaction na party politics? Unajua propaganda uchwara ni short term weapons ambazo madhara yake hayabebeki kama unajitambua?
Hebu tuambie lini viongozi wa chadema walitamka hawamtambui rais acheni siasa za kitoto kama hujui pale ccm wameangukia pua kwa lowassa kupeana mkono na rais kulingana na kauli zake za wasijaribu sasa leo kafundishwa kuwa siasa si uadui bali mnaweza kufanya mazungumzo yakaishaMkuu kubali hili tukio la leo linamaslai zaidi kwa CCM kuliko Chadema.
Kumbuka viapo vya wafuasi wa Chadema ......Na wabunge wao toka matokeo ya uchaguzi yalipotangazwa hadi Bungeni.
Lazima mkubali Lowasa anawavuta shati kwenye harakati za UKAWA, Lowasa hana mihemuko kama ya Lisu,Msigwa au Sugu.
Mbowe hana mihemuko ila ni mtu wa upepo, hajawahi kwenda tofauti na majira ya siasa.
Lazima mkubali Lowasa anawafundisha siasa, Lowasa Na Chadema ni sawa Na Baba Na Mwana.!
Kwanini walisusa hotuba ya JPM bungeni?Hebu tuambie lini viongozi wa chadema walitamka hawamtambui rais acheni siasa za kitoto kama hujui pale ccm wameangukia pua kwa lowassa kupeana mkono na rais kulingana na kauli zake za wasijaribu sasa leo kafundishwa kuwa siasa si uadui bali mnaweza kufanya mazungumzo yakaisha