Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.
Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.
Godblee Lema akitaka asitake 2015 ataangukia pua....jimbo tunahakikisha tunalichukua au vinginevyo tunampa mgombea wa chama kingine kisicho na dira ya vurugu...Mimi binafsi natarajia kutangaza nia ya kurudi nyumbani na nitagombea naomba Mungu anijalalie chama changu kinipitishe katika kura za maoni... Hivi sasa tunaelekeza nguvu zetu kuhakikisha serikali za mitaa tunazizoa zote halafu pia madiwani tutahakikisha CDM wanaambulia sifuri...TUMECHOKA NA VURUGU NA FUJO TUNATAKA AMANI NA MAENDELEO
Huyo MONOBAN si ndiye aliyepora NMC Arusha mali ya wavuja jasho.uliona wapi kiwanda kama NMC kinauzwa kwa bei ya kutupa?
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.
Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.
Nataka mashabiki,wapambe,wafuasi,wapiga debe na mabest wa mh Godbless lema waniambie kwa maneno mafupi sana kazi huyu mbunge alizozifanya toka achaguliwe....staki emotions nahitaji facts.

siasa za vurugu zimepitwa na wakati
Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.
Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.
ccm arusha ilashafutika yamebaki majengo tu
Wewe mtu wa kimanzichana na Arusha wapi na wapi bhana ?Lema hapana rangi ataacha ona mwakani atafute uwakala wa viroba tu