Tumtumie mama Janeth Magufuli

Tumtumie mama Janeth Magufuli

Asisahau tuliorudishwa nyumbani kupisha Uhakiki wa watumishi hewa.tumeshakoma !
 
yahitajika akili ya kitoto zaidi kumsemea/kumshtaki baba kwa mama(wapi dogo aslay??)!!!
 
First lady usiende....technically akutakii mema..... Jamaa atarudi kwa yuleee..... Anayesemekana....Nyumba ya serikali kupewa..
 
Nipo mtaa mmoja na wewe. Mtandaoni unaipinga kweli serikali wakati mtaani kwetu unaitwa mfuasi na shabiki namba moja wa Rais Magufuli.
1473086349137.jpg

Huyu ndiye nilikuwa mfuasi wake na mfuasi wangu sasa hivi ni Tanzania
 
King charles I alikuwa na mke wa kifaransa anae practise ukatoliki lakin The King mda wote alifikir kulipunguzia kanisa madaraka
 
Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.

Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!

Amwambie mkuu yafuatayo aisee.

1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.

2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .

3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!

4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8

5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.

6: Vijana wanasubiri viwanda

7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.

Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.

'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"

Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!

Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!!
Muosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.

Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii
 
Msimsogelee Mama Mchungaji mkamnusisha Buree Shombo ya kuanzisha WAMA au Fursa sawa kwa wote Mzee atakuja kumtumbua bila ya huruma
 
Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.

Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!

Amwambie mkuu yafuatayo aisee.

1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.

2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .

3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!

4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8

5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.

6: Vijana wanasubiri viwanda

7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.

Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.

'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"

Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!

Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!!
Utakwenda kumsaidia ngumi atakazo kandamizya?.
 
Mama J anaweza akawa anaona haya yote, ila naye anaogopa kuleta fyokofyoko
 
474, member: 383085"]Mbona mnalalamika sana? Fanyeni kazi[/QUOTE] kazi tunafanya sana MKUU mpaka tunatoka jasho la meno! hukuona nyanya zetu tunauza kwa sh. 1000 ndoo kwa kukosa soko?
 
Muosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.

Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii
Teh teeh teeeh kila.za bwana kwa taarifa yako kipato changu ni cha kutosha sana lakini nawasemea wanyonge
Hata wewe kama unataka ajira ni text inbox sawa nitakupa kazi
 
Back
Top Bottom