Tupe hyo kazi mkuuMbona mnalalamika sana? Fanyeni kazi
mmmmmmh!!!!Kwani lazima uandike kiingereza? jamani hii ni aibu, kumbuka once you post here, your message is worldwide read...
Mkuu taratibu.Hivi hamjiulizi kwanini huyu mama aligoma kushiriki kampeni za Magu? Magu ni katili sana hata kwa familia yake, mtu aliwahi kukimbia familia yake na kwenda kuishi na kimada wa UD aliyemhonga hadi nyumba ya serikali nyie mnadhani ni mtu wa kawaida huyo?
Wewe acha kudanganya watu hata ajira muhimu kama walimu zinapigwa pinTunawaza kuajiliwa sana kuliko kujiajil hapo ndo mzizi wa tatizo
Tunasoma ilo tuwe watumwa kwa walionanacho
Mawazo na akil zetu tupo radhi tutimie kwa manufaa ya watu wengine na sio sisi
Endelen kusoma umizen kichwa sana mawazo yenu elimu yenu itupe utajir sisi nyie tutawapa sehem ndogo ya faida
Mtahangaika sana mtandaoni. Mitaani ni haile, haile tu na Magufuli.Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.
Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!
Amwambie mkuu yafuatayo aisee.
1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.
2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .
3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!
4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8
5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.
6: Vijana wanasubiri viwanda
7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.
Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.
'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"
Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!
Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!!
Mtaa gani upo mkuu wa Lumumba?Mtahangaika sana mtandaoni. Mitaani ni haile, haile tu na Magufuli.
Mama anabusara sana, sema kile kichwa cha jamaa kimejaa roho ya kibur

ALIJUAJE KUWA KUTWA UPO HAPA?Ovyo ni wewe usiyejua nilichoandika
Mi nadhani namwombea ili mama mwenye nyumba asikie kilio chakeNi sawa,lakini unamsaidiaje mleta uzi?
Achana naye uyo kwanza hata pesa anayolipwa ajui kuifanyia kazi ningekuwa sendeka ningewafukuza kazi wote hawaALIJUAJE KUWA KUTWA UPO HAPA?
Funguka tuelewe Fanya utafitiKule Changanyikeni kuna familia ya huyu jamaa ila sielewi ni nani mke wa kwanza kati ya yule wa changanyikeni mwenye hata wajukuu na huyu mama J anayemtembeza hadi visiwani kuwananga wananchi wake.
Unajua huko Kilosa plastiki ya Lita 20 ya nyanya inauzwa sh. 700. Piga hesabu ili ununue kitenge cha sh. 5,000 unahitaji plastiki ngapi na eka moja unapata plastiki ngapi.Mbona mnalalamika sana? Fanyeni kazi
Mbona mnalalamika sana? Fanyeni kazi
Safi umemjibu sawa kabisaKazi zipi maana kazi zinaandaliwa mazingira..tumelima nyanya hatuna soko hadi sasa.
Viwanda si tumesikia wanajenga mifuko ya jamii pesa za wastaafuMambo yapo hivo kwa sababu ya maandaliz ya no. 6
Unazani watu hawafanyi kazi? Tatizo wanafanya kazi pesa haipo biashara vimevumba hakuna wateja labda unataka watu wafanye kazi gani, usikalilishwe na wasiojua ugum wa life la kitaaMbona mnalalamika sana? Fanyeni kazi