Tumtumie mama Janeth Magufuli

Tumtumie mama Janeth Magufuli

Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.

Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!

Amwambie mkuu yafuatayo aisee.

1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.

2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .

3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!

4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8

5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.

6: Vijana wanasubiri viwanda

7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.

Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.

'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"

Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!

Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!!
Kabla ya mkuu hajaingia magogoni huyo mama aliwahi kumkimbia, kutokana na sheria na matamko yake ndani ya nyumba.

huyo unayetaka amwambie mzee ata yeye anamuogopa
Alisema siku anaapishwa," wasukuma hatuna tabia ya kumweka mwanamke mbele, ukimweka mbele ataonekana kama raisi wakati raisi ni mimi,!"
By conclusion mwanamke hana kauli kikwetu usukumani!!!

[quote uid=373722 name="technically" post=17490195]Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.

Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!

Amwambie mkuu yafuatayo aisee.

1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.

2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .

3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!

4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8

5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.

6: Vijana wanasubiri viwanda

7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.

Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.

'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"

Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!

Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!![/QUOTE]
Muosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.

Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii

[quote uid=373722 name="technically" post=17490195]Wakuu nilikuwa nawaza tu wale ndugu zetu wanaopita humu walioko karibu na mama yetu.

Mpendwa ,mtulivu ,asiyependa kuonekana mbele ya kamera labda anaweza tusaidi kufikisha kiliochangu!!

Amwambie mkuu yafuatayo aisee.

1: Mtaani hakukaliki ni taharuki mifuko imechomwa na jua.

2: Kauli za mkuu zinaongeza taharuki zaidi anapoongea .

3: Watu wameogopa tayari kujadili kauli zake maana wakikutwa wanaongea na police wanaogopa kuwekwa pingu!!

4: Apunguze hasira huu mchezo hauitaji hasira anaongoza watu zaidi ya milioni 50 na waliomchagua ni milion 8

5: Tunataka mrejesho wa Salary Slip yake na kodi anayolipa kwa sasa ni kiasi gani.

6: Vijana wanasubiri viwanda

7: Vijana wanasubiri ajira mpya mpaka sasa kimya.

Amwambie wazee wako njaa aisee mambo ni magumu mtaani aje na majibu sio vitisho.

'' Niko njaa hata siwezi karanga( Nyama)
Hoe hae shagarabagara ,
Niko tayari kulipa garama Sitosimama maovu yakitawala"

Mwambie asikilize hako ka wimbo kama anaweza kapata katamsaidia kuelewa nini namaanisha!!

Asante najua ujumbe huu utawafikia wote!!

Muosha miguu ya Mafisadi kama wewe lzm njaa ikupige kweli kweli.

Mafisadi na wakwepa kodi wa billicanas hawana pa kutokea awamu hii[/QUOTE]
Lumumba buku 2 wala amunisumbui sisi wengine ni matajiri ina tunapigania masikini kama wewe ambao hamjui kujipigania kaoshe vyoo vya Lumumba sawa

Huyu ndie alibebeshwa mchanga au ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa ,Wapi mama Maria Nyerere

Back
Top Bottom