Wote hawa waliwahi kuwa wana CDM. Baadhi yao walikuwa na nguvu kama Zitto.
Hili la dharau kwa viongozi wa chama ndo limenihuzunisha kweli...mimi sio mkabila ila hili kabila lao kama ni kupenda sifa na tambo...hapo kazidisha......south kipindi cha ukombozi wasaliti(ntu-ntu kwa kizulu) walikua wanafugwa tairi wanachommwa moto....lakini sasa hasira mabayo unapata ndo nimegundua kwa nini wa-south walifanya vile...CDM msipo mfukuza zitoo mtatupoteza wengi kwenye chama
sasa hizo nguvu kwa nini asianzishe chama chako?acha uongo, chadema haijawahi kuwa na mtu mwenye nguvu individual kama zzk,,,kukubalika kwake kwa waTZ,umahiri wake wa kujenga hoja si wa kufananisha na hao wengine...BILA KUUSEMA UKWELI mtaendelea kuwa misukule
acha uongo, chadema haijawahi kuwa na mtu mwenye nguvu individual kama zzk,,,kukubalika kwake kwa waTZ,umahiri wake wa kujenga hoja si wa kufananisha na hao wengine...BILA KUUSEMA UKWELI mtaendelea kuwa misukule
Hili la dharau kwa viongozi wa chama ndo limenihuzunisha kweli...mimi sio mkabila ila hili kabila lao kama ni kupenda sifa na tambo...hapo kazidisha......south kipindi cha ukombozi wasaliti(ntu-ntu kwa kizulu) walikua wanafugwa tairi wanachommwa moto....lakini sasa hasira mabayo unapata ndo nimegundua kwa nini wa-south walifanya vile...CDM msipo mfukuza zitoo mtatupoteza wengi kwenye chama
mwanakwetu mi nadhani ishauri cdm imfanyie kitu zitto.mana zitto ye hashauriki,unadhani anafanya bahati mbaya
Wote hawa waliwahi kuwa wana CDM. Baadhi yao walikuwa na nguvu kama Zitto.
mkuu naomba kwanza unijibu, unaamini zitto anapenda chama chake?kosa lake lipi kikatiba au manjonjo tu hapa na uhafidhina
Namhurumia sana.
Ahesabu posti za watu humu ndani, aone ni wangapi wanamuunga mkono na wangapi wanapinga. Ajue vilevile ni kina nani wanamuunga mkono na kina nani wanampinga?
Wengine tumeamua kumpa ushauri. Ni juu yake kuamua.
Zitto akinusurika kifo cha kisiasa itakuwa ni huruma uongozi wa CDM tu si zaidi ya hapo... kwangu mimi bado ataendelea kuwa msaliti tu milele daima na tayari nimempotezea kama Shibuda...
Hela hizo za mafisadi magamba zinafanya kazi ndio maana dogo anakiburi.