kiukweli inanikera pia inanikatisha tamaa.
Si mara moja kwa post zangu kufutwa ama kuunganishwa.
Inabidi moderators,paw,invisible na wahusika wengine waliangalie kwa mapana ili kulipa heshma jukwaa letu.
Kwa wingi wetu tunaanza kuamini mamoderators wapo upande flani na mlengo flani.