Muulize Zito, hiki anachokifanya hata mwenyewe hakijui, ila Kwa Sababu kinaratibiwa from pai-Zone Hana budi kukifanya tu.. Hata ukimshauri too late.. Hata Hotuba anaandaliwa from pai-Zone. Anahitaji kuhuruniwa zaidi .
Chadema hawapigani Na ZITTO, Kuna maelfu ya mijitu yenye Akili inamchezesha to Kama game la laptop. Ukiisoma Hotuba yake haina Kichwa wala mkia, hushangai tokalini Zitto akaandikiwa hotuba.. Jiulize..

mbona viongozi wa chadema wameshindwa kumweshimu zitto?Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
- Awaheshimu viongozi wake.
- Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
- Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
- Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
- Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
Mengine mnaweza kuongeza.
Sikujua hili la kuandikiwa hotuba.
Zitto ajue CCM wanampoteza jumla.
Zitto jiulize wako wapi hawa:
Walikuwa wazuri wakiwa CDM lakini leo wako wapi , ogopa kusifiwa na adui wako.
- Walid Kabour
- Lamwai
- Mtela
- Juliana
- Tambwe
- Shitambala
kweli ndio naamini zitto ananguvu sana, maana kateka fikra za watu. Angekuwa si mtu mwenyenguvu asingesumbua vichwa vya watu kila siku kumjadili. Hivi angekuwa zitto ndo ben saanane, au yeriko nyerere watu wangesumbua vichwa kupost hum jf kama watu wanavyofanya kwa zitto? Huenda wengi wasinge juwa kinachoendelea.
Nani asiyemheshimu Zitto?
Kivipi?
Najua wewe ni mwana CCM kwa vyovyote wewe ni mzigo ndio maana huna hoja.
Hela hizo za mafisadi magamba zinafanya kazi ndio maana dogo anakiburi.Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo: