Tumsaidieje huyu? ana D 3

Tumsaidieje huyu? ana D 3

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Halo jf! kuna mdogo wetu amemalza 4m 4 na ana D tatu (History, Geography na Kiswahili) masomo mengine ana F. naomba kufahamu kama kuna colleges ambazo anaweza kuqualify kufanya course za certificates coz dogo hataki kure-sit. Msaada wenu katika hili plz, natanguliza Asante
 
Mpeleke foundation course aweze kuingia certificate, check tumaini, mzumbe, saut

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
From July 2013 CBE watatoa course kwaajili ya wale wasio na sifa za kusoma certificate watakao faulu wataunganisha certificate sept 2013.Check kwenye web yao.
 
halo jf! Kuna mdogo wetu amemalza 4m 4 na ana d tatu (history, geography na kiswahili) masomo mengine ana f. Naomba kufahamu kama kuna colleges ambazo anaweza kuqualify kufanya course za certificates coz dogo hataki kure-sit. Msaada wenu katika hili plz, natanguliza asante


mpeleke zoom
 
Kama ni binti mtafutie coz za NABE zitamsaidia badae kujoin diploma kwa mvulana mpeleke veta achukue umeme then ajoin ualimu Wa veta muhonda.
 
anaweza akaenda VETA kuna course za biashara wanatoa wana ita NABE(National business examination) kwanza ni rahisi na pia unaweza ukasoma mtaani ukaja ukanya mtihani na inatambulika.
 
Back
Top Bottom