Samia= Magufuli
Nyumbu wataelewa tu
Hiyo katiba msubiri mpaka uchumi wetu uwe Kama marekani.
Alafu bavicha mshaambiwa mapema hakuna mikutano ya hadhara, msije baadae kutaka kuleta ujinga wenu
Yote aliyosema mama leo yalitegemewa. Halipo jipya.
La maana tu ambalo ni vyema kila mtu ajue, safari hii tumedhamiria kweli kuilinda katiba na kupigania nyingine iliyo bora zaidi.
Hatuna mpango wa kurejea tena Misri kwani tulishatoka na nyoka.
Kwa hiari au kwa marumbano wachaguzi hatuwezi kuwa sisi.
Au nasema uongo mkuu BAK?
👍Ndioooooooooo
Uko sawa kabisa Mkuu mimi zaidi ya mwezi sasa nilimuona huyo maza ANADEMKA tu na nikaandika humu kwamba nimepoteza imani naye. Wapo walioniambia tumpe muda lakini sasa ukweli umedhihirika. Maza hana jipya zaidi ya kudemka na kufuata nyayo za mwendazake.
Hii ni ahadi ya kilaghai na iliyo kinyume na katiba. Mama ni dikteta uchwara pia.Mama anaomba muda kusimamisha uchumi.
July 1 kuna nini kwa watanzania milioni 60 ?!!!Pamoja na yote binafsi sijaona taabu yoyote naye. Maneno matupu hayajawahi kuvunja mfupa.
Hadi pale atakapotaka kulazimisha kuvunja katiba bado nadhani tumpe muda.
Kwani July 1 iko mbali?
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii.
Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.
Pamoja na yote anayosema na nia yake njema ya kufanana na JPM, mama ameonyesha kwa vitendo kuwa si katika dhuluma wala katika kuvunja katiba au sheria.
Mwenye macho haambiwi tazama:
View attachment 1833936
1. Leo uamsho wako huru
2. Mdude yuko huru
3. Kesi bambikizi 147 Takukuru zimefutwa
4. Watu hawapotei tena
5. Watu wasiojulikana hawapo tena
6. Nk
Hayati Magufuli alihitaji kupewa muda kuinyorosha nchi. Mama anaomba muda kusimamisha uchumi.
Lakini kwani katiba ya nchi inasemaje? Katiba ya nchi itatamalaki. Na hili si hisani.
Panga pangua katiba ni lazima kutamamalaki. Na hili ndilo eneo tunalopaswa kumsaidia sana mama katika ujenzi wa nchi hii.
Tusichoke kumsaidia mama katika kuijenga nchi hii kwa kuzingatia matakwa kamili ya katiba iliyopo, tunapojiandaa kwa mwendelezo wa kudai katiba mpya iliyoboreshwa.
Yaliyotutokea kipindi kile hayapaswi kurejelewa.
Ninawasilisha.
Hii ni ahadi ya kilaghai na iliyo kinyume na katiba. Mama ni dikteta uchwara pia.
Mtawala yeyote anayevunja katiba ni dikteta.