Mlezi amekomaa mzigo wote uje kwake bila kugawanya maana amemhudumia binti tangu akiwa na miaka 3Binti hana akili,ila huyu anayekomalia mahari ndio mpuuzi no 1.
Ilifaa ashangae tu kisha akaushe,ila apunguze shobo na binti angarau kwa 90%.
Basi baba wakufikia aachane na ilo kwakua aliamua kulea huku akijua si wakeMama kakubali apewe mzazi wake kama binti alivyoamua ila mlezi hataki pesa iende kwa baba mzazi