Tumsaidiaje huyu menzetu?

Tumsaidiaje huyu menzetu?

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Anasema ana mpenz wake wamedum kwa mwaka sasa anasema huyu mpenza wake ana mtoto alizaa na mwanaume mwingne akiwa chuon lakin huyo ex aliyezaa naye alifariki kwaajali ya gari. Sasa huyu jamaa yangu anasema anampenda sana huyu mpenz wake na wamekubaliana kuoana. Anasema huyu mpenz wake wanafanya kaz mikoa tofauti. Sasa anasema ktk kufanya mchepuko kwa vile mpenz wake yuko mbali ametokea kumpa mimba bint mmoja hivi na wenye mtoto wamemkomalia sana na anasema hajampenda sana kama anavyompenda yule mpenz wake wa mwanzo.... Sasa anasema yupo njia panda amuoe yupi kat ya hao
 
Amuoe alomtia mimba!Na siku nyingine akichepuka achepuke na condom!
 
..huyo mpenzi wake wa huyo mpenzi wake wa wakwake kampamimba mpenziwake kapataajali kazaa mtoto huyo mpenziwakesasa sujui huyo wakempenziwakesiju itakuwaje anampenda mpenzi huyo wake
 
sema usaidiwe, ndoa si zawadi na mtoto peke yake si sababu tosha ya watu kuoana. Kuwa macho.
 
Wakati anachepuka hakujua kama ni barabara ya vumbi na alitakiwa kuwa na vitendea kazi
 
..huyo mpenzi wake wa huyo mpenzi wake wa wakwake kampamimba mpenziwake kapataajali kazaa mtoto huyo mpenziwakesasa sujui huyo wakempenziwakesiju itakuwaje anampenda mpenzi huyo wake

acha bangi ww. Kwan lazma uchangie?!
 
Easy tu, afuate moyo wake...issue ya mke haihitaji kura za maoni..

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mwambie akaoe hako alikokadunga mimba,mimi aniachie mjane maana anahitaji faraja...loading error...
 
Anasema ana mpenz wake wamedum kwa mwaka sasa anasema huyu mpenza wake ana mtoto alizaa na mwanaume mwingne akiwa chuon lakin huyo ex aliyezaa naye alifariki kwaajali ya gari. Sasa huyu jamaa yangu anasema anampenda sana huyu mpenz wake na wamekubaliana kuoana. Anasema huyu mpenz wake wanafanya kaz mikoa tofauti. Sasa anasema ktk kufanya mchepuko kwa vile mpenz wake yuko mbali ametokea kumpa mimba bint mmoja hivi na wenye mtoto wamemkomalia sana na anasema hajampenda sana kama anavyompenda yule mpenz wake wa mwanzo.... Sasa anasema yupo njia panda amuoe yupi kat ya hao

Kwenye post moja kuna "ANASEMA" saba! wallah si mchezo..!!!
 
Ukiona hivyo ujue ni uongo.
Mleta mada ndio mhusika mwenyewe halafu anajifanya eti anasema anasema nyiiiingiiii!!!
 
kama umeiona ni ya uongo achana nayo. Hyo ni kauli taarifa
 
Mwambie ajifunze kutumia kondom....inaonekana mimba zake zipo karibu sana
...mshauri pia akapime vvu
 
Back
Top Bottom