We angalia tusijegongwa na gari moja mbona na mie nasubirii,ngoja nikoki bastola yangu vizuri
Hebu tupe uzoefu mi sijakomaa bado mwenzio! !!!!!
Mbingunii
Polee tutakuchangia nauli ni sh.ngapi kweli kwenda huki Kimara
Ni uvumilivu tu na commitment mkijua mnachokitaka
Tatizo si nauli...! Umbali huu na foleni...nikitoka kwangu nikifika kwake ni usiku!