Tumnukuu Manara."Simba tuna kikosi kipana tunaweza cheza Zenji na Dar kwa Siku moja na tukashinda zote.

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Kweli Manara mna kikosi kipana,lakini mbona hampati matokeo mazuri?mfano Manula kesha bugia mikono miwili hivi bado tu mtampanga tena hio tarehe 12,na mkifanya hivyo maana ya kikosi kipana ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndiyo maana anapata taabu sana huyu maana amebugi kwenye dimensions.

kwenye timu ya mpira huwa tunaongelea depth (kina) ya kikosi siyo upana (width).

so.... waende wakatengeneze depth ya kikosi kwanza ndipo wanaweza kutuletea CAF trophy.
 
Back
Top Bottom