ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Naona Mwigulu hajui afanye nini yupo anafanya kazi kama machawa na vijana wa UVCCM,
Hajatambua ukubwa wa cheo chake kitaifa na kimataifa
1. Kufanya majukumu ya Rais katika kazi maalum (ibara ya 38)
Kauli ya waziri mkuu inapimwa sawa na kauli ya Rais, Sasa huyu bwana kisa anabomoa kidiplomasia kusema hatishwi na Kiingereza n. K
Kwa watu makini na wahisani wanapima hayo ndo maamzi ya serikali
2. Kuwajibika Kwa Utawala bora na sheria (katiba ibara 54 na 59)
Kuhakikisha serikali inafanya kazi Kwa majibu wa katiba na Sheria
Mwigulu hajawahi kukemea utekaji, mauaji na ukamataji holela wa polisi
3 Kuwakilisha serikali bungeni ( katiba ibara 54 na 55)
4. Kumshauri Rais ( katiba 56)
Hivi huyu Mwigulu ana uweZo wa kumshauri Rais juu ya sera za kidiplomasia, uchumi, siasa na utawala Bora
Kama anapuuza uchaguzi wa haki na katiba.
5 kujenga uhusiano wa serikali kuu na Serikali za mitaa ( katiba ibara 55)
Huyu Mwigulu asiyeweza kusemea kuwa mitaani hakuna huduma muhimu kama maji, hivi anaweza kuwa link ya mitaa na Serikali kuu
6. Kumsimamia utekelezaji wa mikataba ya kimataifa I
Huyu waziri mkuu anayepuuza mikataba ya kimataifa kama utawala Bora, haki za binadamu, uchaguzi wa huru na haki, mazingira, usalama wa raia n. K
Anafaaje kuwa PM
7 kusimamia masuala ya usalama wa Taifa
Huyu Mwigulu nadhani hili jukumu halijui vizuri kabisa
8. Kusimamia na kuratibu utendaji wa serikali ( katiba ibara 4 na 56)
9. Kusimamia kamati ya maafa
Mwigulu hajui kama tarehe 29 Taifa lilipata maafa, hajawahi kutoa taarifa ya kufidia wafia, kuwalipa upotevu wa Mali, kutambua waliuliwa na kuzika Kwa heshima n. K
Hayo ni baadhi tu