kibombotokolote
Member
- Sep 14, 2019
- 37
- 29
Nilichokiona kosa lake baba mchungaji Ni kusema lisu anafaa kuwa rais hayo mengine unatuchosha tu..!
Kwa hiyo Mwingira anataka abaki na waumini wafuasi wa chadema tu ? Wa CCM hawataki?Mwaka huu ccm out
Huyu Meko hata maneno yake tu yanamkataa kwamba ni mnyeyekevu,tangu lini mwanadamu akatamani kuwa kiongozi wa Malaika mbinguni,si kujitafutia laana tuJamaa yao miaka yote mitano alikuwa ni kama anaishi kwenye madhabahu za kila kanisa huku akisisitiza ''mniombee'' na kujifanya mnyenyekevu kupita hata malaika kumbe ndani ya moyo wake amejaa roho ya uuaji na ukatili. Watokemee mbali Masadukayo wakubwa hawa.
Sawa kabisa usemayo. Kwenye madhabahu si mahali pa kuzungumzia siasa kwa sababu waumini wanatoka pande tofauti za kisiasa ingawa kiimani wako pamoja. Mchungaji ana uhuru wa kumpenda mgombea fulani na ni haki yake ampigie kura mtu huyo. Lakini asimshabikie kwenye madhabahu kwa kuwa waumini wengine wanatofautiana naye kisiasa.Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA..
Kwa hiyo Mwingira anataka abaki na waumini wafuasi wa chadema tu ? Wa CCM hawataki?
Wana CCM mnaosali kwa Mwingira mwachieni kanisa lake katafuteni Makanisa mengine waachieni Chadema
Nashaanga wizara ya mambo ya ndani haijamfungia kanisa lake huyu aliyevamiwa na shetani na kutaka kuligawa taifa.Au mnasubiri mtumbuliwe ???
Wewe jamaa imenichekesha sana. Umeamua kum- qoute ili asijifanye haja hajakusoma!!'Wapuuzi' wakubwa nyie kwahiyo Mchungaji Mwingira akisema yanayofurahisha 'Dola' ni mzuri, ila 'akiwakosoa' tu au kusema 'Ukweli' ni Adui yenu?
Cc: Elius W Ndabila
Sawa kabisa usemayo. Kwenye madhabahu si mahali pa kuzungumzia siasa kwa sababu waumini wanatoka pande tofauti za kisiasa ingawa kiimani wako pamoja. Mchungaji ana uhuru wa kumpenda mgombea fulani na ni haki yake ampigie kura mtu huyo. Lakini asimshabikie kwenye madhabahu kwa kuwa waumini wengine wanatofautiana naye kisiasa. Hili ndilo kosa analofanya pia Askofu Bangoza. Mtu chagua kuwa mwanasiasa au kuwa mchungaji. Ukichagua siasa, hapo ndiyo una haki ya kumpigia debe unayempenda. Lakini kama unachagua uchungaji, mapenzi yako kwa mgombea fulani yabakie moyoni mwako tu na si kuwashawishi wengine. Siku ya kura utatekeleza mapenzi yako bila watu wengine kufahamu umempigia nani.
Waumini wa Mwingira wanaona kaoteshwa Lisu ndiye rais, huwezi waambia kitu. Hata enzi za JK aliwaambia JK asingemaliza miaka 5 ya awamu ya pili.NIMKUMBUSHE MCHUNGAJI MWINGIRA.
Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA...
Ndg Elius Ndabila, Elewa kwamba Tundu Lissu hajagombea uraisi Eti kwa sababu tu alipigwa risasi, Hapana! Hata asingepigwaWiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA...
Uhakika ni kuwa, hata asingepigwa risasi angegombea tuu! Kwani mmewahi kusikia akiomba kura kwa sababu alipigwa risasi??Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA...
Ukiona umeandika makala ndefuuu, ikapita saa ya kwanza, pili, tatu, nne hadi tano hujapata like hata nusu ujue ni sawa na umeharisha hadharani. Ujengaji wako wa hoja, hata mtoto wangu aliyeko darasa la saba humkaribii. Katika hoja yako unalinganisha na hoja ya Wasira kuwa kupigwa risasi siyo sifa ya kuwa mgombea urais halafu ukakiri hapo hapo kuwa wapo wengi waliopigwa risasi lakini wala hawakutamani kuomba kugombea urais. Sasa kwa akili yako unamlinganishaje aliyeomba na ambaye hakugombea? Je wangegombea unajuaje kama wasingeng'ara kama anavyong'ara Lissu?Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA...