Rais ajaye akitaka twendwe sawa,ni kupiga marufuku matumizi ya jenereta kwenye nyumba za serekali,kuitia kwenye mgao mitaa wanayoish vigogo hiyo itatatusaidia kulipatia dawa tatizo la mgao wa umeme,kwani umeme ukikatika kule bungeni wakat bunge likiendelea na jenereta lisipowaka itarahisisha hii swala kushughulikiwa.