Installing whatsapp on your desktop/laptop is it possible guys to do that!!?
======
=====
======
Baadhi ya watu tumekua tukihitaji kutumia baadhi ya application kama whatsapp na instagram kwenye pc zetu kutokana na sababu tofauti,, pengine cm haisuport, au sim imeharibika kwa muda au pengine tunapenda tu...
So ifuatayo ni program ambayo unaweza ukafanya yote hayo kwenye pc yako,, yaan app zote za android unaweza kuzipata na kutumia kwenye pc yako....
- download bluestacks from here: Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player
- pc yako inatakiwa kuwa na RAM kuanzia 2GB
- Intall
- Now good to go....
View attachment 114383
Hivi ndivyo inavyoonekana ,,, kuna sehem ya kusearch hapo juu ambapo unaweza kusearch any applichation and install.... lazima uwe na modem,, n hata wakt wakuinstall lazima uconnect na internet....
Hapo ukishainstall whatsapp process nyingne za kawaida km kweny cm tu....enjoy instagram na whatsapp ht kama hauna cm...
=====
Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nyingineee tu.
ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated&[HASHTAG]#8230[/HASHTAG]; So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa
Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.
Kumbuka, youwave ni yakulipia (Ingawa unaweza kuichakachuwa) ila bluestack ni ya bure, isipokuwa ina ishu za ram, vga drivers etc ndo maana siipendi.