Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,206
Kwanini kanuna mpaka nakosea kuandikaKwanini unaharakia kupost? Hadi umeandika kwani
Kwanini kanuna mpaka nakosea kuandikaKwanini unaharakia kupost? Hadi umeandika kwani
Kwanini walimsukumizia Urais wakati alikua anajaribu tu.?
Kwa nini anapendwa hivyo?Kwanini bashite?
kwanini asikate gogo ukweni?kwa nini nawe ukate gogo ukweni?
Kwa nini wewe unachelewa kuweka post ya kwanza kila uzi?Kwanini unakua wa kwanza kuweka jibu post nyingi
Kwa nini hakukataa baada ya kusukumiziwa?Kwanini walimsukumizia Urais wakati alikua anajaribu tu.?
Kwa nini unataka kubadilisha maana?Kwanini isiwe swiss you
Kwa nini hulali hadi muda huu?Kwanini umeanzisha uzi wa hivi
Kwa nini anakataa kutoa vyeti vyake?Kwanini Makondaka anaitwa Bashite?